Cabinet CHADEMA tafakarini hili!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cabinet CHADEMA tafakarini hili!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STIDE, Sep 1, 2012.

 1. S

  STIDE JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pongezi za dhati kwa kazi ngumu ya vuguvugu la mabadiliko nchini inayoendelea kwa mafanikio makubwa, japo ina milima na mabonde yake!!

  Kadri siku zinavosonga, M4C inazidi kuleta matumaini ya ukombozi lakini kuna matatzo yatokeayo wakati wa vuguvugu hili, hasa WAHANGA WA M4C (point yangu inasimama hapa)

  Tumekuwa na wahanga wengi kadri M4C inavozidi kuwachachafya mafisadi na wezi wa CCM, na chama chetu japo kimekuwa kikiwajari wahanga hao lakini si kwa 100% kutokana na uwezo wa chama na changamoto zinazokikabili!!

  Binafsi nashauri(tafakarini) kama ambavyo tumekuwa tukichangia mambo mengine kuendeleza chama, TUANZISHE MFUKO MAALUM KWA AJILI YA WAHANGA WA M4C maana nina uhakika hadi tuione2015 waathirika tutakuwa wengi na chama kisipowahudumia kuna uwezekano hata watu wakakata tamaa!!

  Tuanzishieni mfuko huu, uwe na mfumo utakaoruhusu walioko nje na ndani kuchangia. Nina imani jambo hili linawezekana na ni muhimu!!

  PEOPLEEE'S....!!
  M4C 4EVER!!
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hapo tutachanganya mambo. Tuikomboe nchi halafu tutarudi kuwasaidia majeruhi na wahanga. Hivyo ndio makamanda wa vita tunaamini.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  STIDE hakuna sababu ya msingi ya kuanzisha mfuko maalum kwa ajili ya wahanga, muhimu ni kwamba Chadema inatambua na kuthamini ushiriki wa kila mwananchi katika kuunga mkono M4C na pale inapotokea madhara basi Viongozi wa kitaifa kwa kushirikiana na wanachama wa eneo husika wanahakikisha wanatoa msaada unaokubalika.

  Hizi mbinu za ccm kuitumia polisi kuwatisha wananchi na hata kuwajeruhi na kuwaua hazitofanikiwa kwani pamoja na mbinu hiyo bado wananchi wameendelea kuonyesha imani kwa Chadema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Good point, but kufanya hivyo ni kukopi na kupesti kwa lile fuko la W/Mkuu la maafa...Sio nia ya Chadema kutegemea maafa kila M4C inapopasua anga, ni magamba ndio chanzo, nadhani Mh Mwema Said aanzishe program hii kwa kuwa huletwa na vijana wake
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ni wazo zuri ila sioni umuhimu wake
   
 6. m

  majebere JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Nyie fanyeni mikutano yenu kwa amani,msipo hamasisha fujo wala huo mfuko hauta hitajika. Zungukeni nchi nzima na hata nchi za jirani cha muhimu ni kufata sheria.
  Kabla ya kuomba michango mingine hebu tuelezeni gharama za M4C kwanza.
   
 7. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Una bahati sihitaji ban hapa... Walahi leo ningekuropokea matusi ya ngu..ni niambulie ban ya mwaka...ila sikuachi bila neno...muombe mungu akufumbue akili yako na aiyeyushe isigande sana.
   
 8. S

  STIDE JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuu Filipo, watanzania hawa usisahau background yao, ni walalamishi, wakataji tamaa haraka hasa wakipata mtu(ccm) kuwarubuni kwamba "tazama mnapigania chama alafu hakiwajari" watanzania hawa watageuka haraka hata vita haitapiganwa tena!!

  Tujadiri.....!!
   
 9. S

  STIDE JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu Filipo, watanzania hawa usisahau background yao, ni walalamishi, wakataji tamaa haraka hasa wakipata mtu(ccm) kuwarubuni kwamba "tazama mnapigania chama alafu hakiwajari" watanzania hawa watageuka haraka hata vita haitapiganwa tena!!

  Tujadiri.....!!
   
 10. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  kilaza utamjua tu..ana akili kama viatu vyake...unajidhalilisha sana mkuu...tafakari
   
 11. S

  STIDE JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mwita Maranya mkuu wangu, ebu tafakari mfano Bw. Ally(r.i.p) wa juzi Moro, pengine alikuwa na mke na mtoto anasoma, leo hii Baba katoka na wamebaki bila msaada!! Je, watu hawa kweli wataendelea kuiunga mkono CDM?

  Ndugu yangu hatuwezi kujiamini sana kwamba wananchi wanatuunga mkono hivihivi, lazima nasisi kama chama tuwashawishi na kuwatia moyo ili watuunge mkono zaidi!!

  TUJADILI......!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. S

  STIDE JF-Expert Member

  #12
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naamini hakuna wazo zuri lisilo na umuhimu wake!! Vinginevyo tumeachana njia panda kamanda wangu!!

  Pamoja mkuu!!
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kamanda hakuna wazo zuri lisilokuwa na faida.........mi nafikiri mfuko wa wahanga tutakuwa tunakwenda mbali sana cha muhimu CDM kama kuna tokea janga lolote basi viongozi wa Chadema walibebe na kulipa uzito kama sehemu ya chama
   
 14. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Nikipigwa risasi kwenye m4c msiangaike saana makamanda,wewe kanyaga au niruke alafu songa mbele.Tutahudumiwa wangapi? Je,polccm wakiamuafyatatua risasi kama kwenye mkanda wa salafinaSOWETO utawajulia hari wangapi?hizi ndizo ghalama za ukombozi.
   
 15. B

  Bob G JF Bronze Member

  #15
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni wazo zuri kupanga ni kuchagua, Siku hizi hata majeneza yapo kabla hatujafa, tukijua tutakua na wahanga why tusipange ni kwa jinsi gani tutahudumia watu wetu!
   
 16. S

  STIDE JF-Expert Member

  #16
  Sep 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pamoja mkuu,
  mkakati unahitajika!!
   
 17. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Samahani bwana wewe unaishi nchi gani? Au wewe ni mtanzania kweli? Ni lini na ni wapi Chadema waliandaa mkutano wa fujo?(yaani Violence Meeting/Gathering?)
   
 18. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #18
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  M4C ni failure anguko kuu la chadema kabla ya 2015
   
 19. ELFU-ONEIR

  ELFU-ONEIR Senior Member

  #19
  Sep 1, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wazo ni zuri lakin huo mfuko ukianzishwa nahisi unaweza ukawa na -side-effect kwamba itaonekana kama cdm imepewa hela ili kugilibu na kuangamiza maisha ya watz.

  Ila nadhani usiwepo mfuko wa kazi hiyo bali uwepo utaratibu wa kuwasaidi wahanga wa matukio haya.
  Ili tusiwape magamba sababu ya kuchonga bali wao nao wahamasike na umoja na mshikamano wetu.
   
 20. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  point...speak it aloud!
   
Loading...