Picha: Ziara Amos Makalla Naibu Waziri, Habari, Utamaduni na Michezo

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

3.JPG

Mbunge wa Mvemero, Amos Makala akionyeshwa moja ya miradi aliyoitolewa msaada, hapa ni Shule ya Msingi Mnazi Mmoja iliyopo katika kijiji cha Kidudwe
1+%281%29.JPG

Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri,Habari, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla mwenye suti akipokelewa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Mvomero wakati wa ziara ya kutembelea jimbo hilo hivi karibuni.
2.JPG

Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amoss Makalla akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kidudwe kata ya Mtibwa mkaoni Morogoro hivi akribu akiwa katika ziara
4.JPG


Mbunge wa Mvomero, Amos Makala akiangalia jinsi ujenzi wa Daraja unavyoendelea katika Kijiji cha Kisala kilichopo katika Kata ya Mtibwa mkoani Morogoro


Chanzo: Father Kidevu
 
Tusome upepo, hali ni mbaya, iwapo miradi ya maendeleo washiriki ni watoto. Tunaomba Mkulu asitishe ziara kupisha shughuli Muhimu ya Sensa.
 
Ni haki yake kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake! Hakuna jipya hapa
 
Ni haki yake kukagua miradi ya maendeleo jimboni kwake! Hakuna jipya hapa

kweli kabisa, kama ilivyo haki kwa chadema kuimarisha chama chao kwa kufanya mikutano ya hadhara inayokatazwa sasa na Polisi kwa kisingizo cha sensa. Inawezekana Mvomero wao hawana sensa
 
Huyu jamaa hata ubunge wenyewe alichakachua,anatoa pikipiki sita wakati amechukua pesa ya jimbo 2010 mil 75,2011 mil 85 na hadi june 2012 mil 105. Pikipiki 6 na moja ya polisi jumla 7 ni milioni 11.9. Atatoa rimu za karatasi anatoa ahadi ya milioni moja kijiji cha kisala na huku zaidi ya milioni 265 amekwisha kuchukua. Angalieni ripoti ya CAG KWA WILAYA YA MVOMERO MTAONA HAYA. HAYA SIYO MAJUNGU. KIJIJI CHA KIDUDWE NDIO KWAO UMEME HUPO KWENYE MASHAMBA YA MIWA NGUZO MOJA TU YA UMEME. KAWAPE WANANCHI CHENJI YAO YA MFUKO WA JIMBO.
 
kweli kabisa, kama ilivyo haki kwa chadema kuimarisha chama chao kwa kufanya mikutano ya hadhara inayokatazwa sasa na Polisi kwa kisingizo cha sensa. Inawezekana Mvomero wao hawana sensa

Mkuu mi nadhani huu mkutano wa makalla ulifanyika siku nyingi kidogo, labda ulifanyika kabla ya M4C, we sema mambo ya ku copy na ku paste
 
Hapo ndipo utaona ufupi wa akili za jeshi la polisi Tanzania. Wanafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo anajua hawatumii akili kufikiria.

Inasikitisha Sana... Na hakuna wa kuuliza; Waandishi wetu wa Habari wako Bias kweli... Wengi wanataka hizo dola la CCM; nimeona Mwandishi wa HABARI

Gazeti BINAFSI anagombea UJUMBE wa NEC... MICHUZI kila Mara yuko NJE na President anapokea $$ za trip... Sasa hawawezi kuwauliza POLISI maswali magumu
 
Bora wewe umejiuliza! Yan cdm ndio wanazuia sensa hila mawaziri hapana!

Ugonjwa wanao umwa CCM hauna dawa mpaka 2015


Amos Makalla, hakuzuia SENSA alivyokwenda JIMBONI kwake? POLISI wamsindikiza hawakumshika?
 
Daa kijiji cha mtibwa kinawatu wengi,. Ccm mnaendelea jidanganya nyie wenyewe,. Kata gani inaweza kua na raia wangi hivo,. Ulieleta picha kajipange upya ulete picha ya mkutano wa makala
 
Wabunge wote wa ccm zile fedha za maendeleo yA JIMBO WANAFIKIRIA NI POSHO WANAKULA NA WALA HAWAZIREJESHEI MATUMIZI YAKE KAMA SHERIA INAVYOTAKA!! In Kenya ,failure to account for the constituency development fund can send an MP to prison; lakini hawa serikali ya magamba haikazii utekelezaji wa sheria!!
 
Mkuu mi nadhani huu mkutano wa makalla ulifanyika siku nyingi kidogo, labda ulifanyika kabla ya M4C, we sema mambo ya ku copy na ku paste

Wewe Inaishi Tanganyika and still out-dated... GO HERE na utajua habari hizi sio za zamani
... Father Kidevu

Ninasaidia sana Watanganyika Wanaozuru Nje;; Lakini sasa naanza kupata Uwalakini sababu sijawahi kuchat na MTU mwenye roho ya KUTU kama WEWE

Inanifanya NIANZE kuogopa kutoa MKONO wangu wa heri na UPENDO kwa wanganyika wanaopata matatizo NJE... Inaonyesha hauna UTU hata kidogo
 
bora wewe umejiuliza! Yan cdm ndio wanazuia sensa hila mawaziri hapana!

Ugonjwa wanao umwa ccm hauna dawa mpaka 2015
la chadema kuzuia sensa nikweli hebu fikilia idadi ya watu wooote wale wanaohudhulia mikutano ya chadema hawahesabiwi wakuuu, kwa idadi ya hawa kwa makala mbona ni ndogo sana!
 
1+%281%29.JPG

Hivi ndivyo Makalla anavyowajali watu wake.Kamvalisha mtoto wa watu sare ya CCM na kamwacha na ndala na akawa anamkimbiza kwa kasi yakeya kutembea.Mtoto mwingine hata hiyo sare kanyimwa na yuko na yebo zake huku muheshimiwa waziri na mpambe wake wakiwa wameulamba.Kumbe kweli CCM ni
chama cha mabwenyenye.Huu ni unyanya saji mkubwa wa watoto na naomba kila mpenda watoto alaani tabia hii ya kuwatumia watoto kwa maslahi binafsi kama alivyofanya mheshimiwa huyu.
 
Back
Top Bottom