POLITICS AND POLICY
A Tullow Oil offshore oil platform. Australia-based Pancontinental Oil and Gas and its partners have struck deposits of natural gas on a Kenyan offshore block, the company...
WACHUKUA PICHA ZA MAREHEMU HOTELINI
na Waandishi wetu
KUNDI la watu wanaoaminika kuwa maafisa wa Usalama wa Taifa limevamia hoteli kadhaa jijini Dar es Salaam walizofikia viongozi...
Zifuatazo ni baadhi tu ya kauli zilizotolewa na viongozi wa CCM kwa nyakati tofauti.Tuzipime na kuona jinsi viongozi wetu walivyo na upeo mdogo wa kufikiri..
1.Ndege ya rais
itanunuliwa hata...
Hatimaye Serikali imempeleka Mpanda Estomih Chang'a aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha,huyu ndiye aliyetumiwa na ccm kuchakachua uchaguzi wa Meya Arusha.
Hakika Serikali imekubali hoja na...
Hivi ndivyo vurugu zilivyoanza katika Kata ya Nyororo Wilayani Mafinga na Mkoani Iringa tarehe 02/09/2012. Vurugu hizi dhidi ya Wanachama wa CHADEMA zilisababisha kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi...
Nimemsikiliza prof. kaongea kwa utulivu na busara kubwa angalau mwanzoni.Kajitahidi kutowaponda wapinzani wenzie wala kutoa maneno ya Jazba,ingawa katika kumalizia kashindwa tenganisha makundi...
Mmie naomba mnijibu kama mnamajibu nilikuwa nataka kujua tu kwa sababu naona Mbowe na Slaa wanazunguka miko yote kila kukicha wakishirikiana na wabunge wengine wa CHADEMA lakini sijawahi kumuona...
Hakuna kiongozi wa Afrika aliyeifahamu na kuifanyia mazoezi tafasri halisi ya DEMOKRASIA, kama yupo basi kiongozi huyo ameifanyia mazoezi kinadharia na hakuruhusu imugharimu, hivyo mbinu za...
10 SEPTEMBER 2012Na Mwandishi Wetu
UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Jumiya ya Wazazi Taifa ambao umefanyika jana jijini Dar es Salaam, unadaiwa kuingia dosari kwa madai ya ukiukwaji kanuni ambazo...
Moja kati ya mashariti makubwa ya jeshi lolote duniani ni kutooji amri yoyote inayotoka kwa mkuu wako wa kazi. Polisi mmekuwa mkiua watu ovyo ovyo utafikiri nyie siyo sehemu ya jamii, au kama vile...
Tumeona kasi na ukuaji wa chama cha CHADEMA,kiukweli kasi yake ni kubwa na haishikiki.Hujuma nyingi wanafanyiwa ikiwa lengo la kukichafua chama na kukivunja nguvu ambayo imekuwa tishio kwa chama...
Chama cha wananchi CUF leo tarehe 9/9/2012 watanzindua kamaoeni mchakamchaka itakayodumu hadi mwaka 2015 na bila kulala wala kupumzika katika lengo la kuikomboa nchi katika mikono ya CCM na...
Huyu jamaa anaonekana yupo makini sana katika kujenga hoja na anajiamini, yani mtu kama huyu na Mnyika, Lisuu na Zitto wakikaa pamoja nadhani CHADEMA itakuwa unstoppable.
Kamati ya Uenezi ya...
Nashindwa kumwelewa Prof Lipumba na harakati zake za kutaka ingia Ikulu. Zaidi ya Miaka 20 sasa bado hajakata tamaa na uchu wa Magogoni. Prof Lipumba nakubaliana na elimu yako katika taaluma ya...
Katika mkutano wa CUF leo mchungaji aliyesimama kufungua kwa ibada ameonyesha mapungufu mengi.
Ila mojawapo ni haya kwanza hajui tofauti ya madhehebu. Catholics hawana mchungaji, na hivyo...
Ni kweli polisi hawakujua kinachoendelea?
Je walikuwa na kibali cha kufanya maandamano?
Je viongozi wao watashitakiwa kwa kufanya maandamano kinyume cha sheria kama wanavyowashitaki viongozi wa...
Culled from Daily Nkoromo Blog
TAALUMA ya uandishi wa habari nchini kila kukicha imeendelea kudharauliwa na wanasiasa na baadhi ya viongozi ambao wanajiona taaluma zao ndio bora na zenye uwezo...
Video ya mauaji ya Daudi Mwangosi yawaliza wajumbe wa kikao cha kamati kuu ya chadema.Kikao hicho kilifanyika jana mjini Dar-es-salaam.
Source:Nipashe la trh 10/09/2012.
Kwa taarifa zaidi...