Habari za hivi punde kutoka Tanga zinadai familia ya ndugu wa Marehemu Ally aliyeuawa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro wakati wakizuia Maandamano ya CHADEMA imeitisha mkutano na Waandishi wa Habari muda si mrefu na kudai kuwa CHADEMA Imesusia kushiriki katika msiba huo.
Ukweli ni kwamba ndugu wa Marehemu hasa Shemeji yake alikubaliana na Viongozi wa Chadema kuwa wangetoa laki saba 7 ya kukodi gari la kusafirisha mwili wa Marehemu na Ndugu wa Marehemu na kuwarudisha Morogoro.
Ghafla Shemeji huyo akakata mawasiliano na kupewa gari na watu wanaoaminika kuwa ni CCM na ndiye aliyefanya Press.
Inadaiwa huu ni Mkakati wa Nape na Propaganda zake za Udini na Ukanda. Watashindwa kwa hila zao na kwa maovu yao