Hivi Mpiganaji Sakina Datuu uko wapi? Tunakuhitaji sana kipindi hiki kigumu kwetu

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Kama bado mna kumbukumbu nzuri huyu Mama alikuwa mbele sana kutetea haki za Watanzania na Waaandishi wa habari, sijamsikia muda mrefu sasa, sijui yuko wapi? Angetufaa sana kwenye hiki kipindi cha KATIBA MPYA na vile vile kwenye hili suala la mauaji yanayofanywa na JESHI LA POLICE AND SERIKALI YAKE.
 
Nakumbuka alitoka the Citizen na kwenda IPP Media na baadaye kurudi huko alikotoka. Since then sijamuona au amepata appointment nje ya nchi?Scholarship? Ni kweli katika kipindi kama hiki anahitajika sana.
 
Bila shaka atakuwa Lumumba maana nasikia watu wa rangi yake asilimia 98% ni watoto wa pale Lumumba..... kama si hivyo nikosoeni...
 
Back
Top Bottom