VIDEO; Mwigulu NCHEMBA please sikiliza hii VIDEO ili usirudie tena kuvalisha mbwa bendera

Jino Kwa jino na mwishowe ni jino lipi linajua kula zaidi?
 
Nimeipenda sana. Nimefarijika kuona watu walivyo na vision na nimefurahishwa sana na mwenyekiti wa Compueters 4 Africa. Ameeleza kwa ufupi lakini kwa lugha nyepesi kwanini tunaihitaji CDM na mategemeo yake kwa wanaCDM kwa mustakabli wa Tanzania. Hongereni
 
hata kama ccm na policeccm hawataki m4c hii ni sawa na gharika hakuna cha kuzuia hata milima itasambaratika
 
Back
Top Bottom