Shigela: Chadema waangalie uongozi wa juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shigela: Chadema waangalie uongozi wa juu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kongosho, Sep 3, 2012.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible.

  Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huyu Mzee wa UVCCM Anafikiri tuko zama za akina Kingunge ha ha ha. Wazee wa UVCCM wanamuaibusha NAPE
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Anabwabwaja tu huyo hana lolote la maana
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Yaani CCM are out of touch. Hivi akiulizwa ni kwa nini Bilal alizindua Kampeni wakati wa Sensa atababaika. Ukimuuliza ni kwa nini Ruge anaungurumisha FIESTA atakisa jibu. Tukisema Serikali dhaifu iko Mikononi mwa akina Ruge watakataa? Yaani CCM wanashindwa hata kusoma Mudi ya Wenyenchi
   
 5. A

  Apex JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shegella lazima atumie akili zake,inakueje aseme ati kila mkutano wa chadema watu wanakufa,je chadema wanauwa au ni polisi wanauwa? Acha kutapatapa viongoz wa cdm wamekosa nn?! Tamko la kuuwa si ni tamko la viongoz wa ccm kwa MaRPC na MaODC waliowapa ulaji,shame on you shegella.
   
 6. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  kubwa jinga la uvccm hamna kitu humo. cjawahi kumuona akitoa hoja ya maana kwa jamii.
   
 7. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Shigela ashakua mlopokaji kama 6, achunguzwe akili yake nae huyu mzee kijana
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  ameongea huku anaona aibu!jee kama polisi wasingetumia nguvu kungetokea mauji?mikutano ya kidini na ccm huwa na mauji?
   
 9. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Haka kajamaa kama si kutumia nguvu za giza, hakakustahili hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi!
   
 10. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  binafsi nimechoka kusikia neno serikali ya ccm .. hii demokrasia ni taabu kwelikweli .. tunahitaji mabadiliko kwa namna yeyote
   
 11. k

  kajembe JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 756
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Huyo ni Mjinga sana tena anatetea jambo la hovyo kabisa,hana tofauti na wale watangazaji clouds FM waliosema eti hakupaswa kuenda eneo la hatari!nimewadharau kabisa hao watangazaji wa clouds.
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Sijui hata walimtoa wapi kilaza yule ndio maana Nape anawazunguka na wanaonekana wehu tu!si lazima kuchangia kila jambo angekaa kimya ingemsaidia sana
   
 13. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Anatapatapa, suala si uongozi wa cdm, anamumunya maneno na kuogopa kusema ni policcm. vita ipo syria, congo na sehemu kibao, ni nadra sana mwanahabari kuuwawa, hii ya hapa alaumiwe cdm au magamba?
   
 14. s

  step Senior Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mfano mzuri wa AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA NI MARTINI SHIGELLA NA NAPE wa CCM. Ninafahamu wapo wenye akili nzuri tu ktk chama hiki ila wanapingwa vikali na kusiginwa kama sisimizi nawashauri wenye akili wakimbilie CDM.
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Nimemsikia kwenye ITV, kusema ukweli jamaa ni mweupe sana upstairs na angeficha upumbavu wake kwa kukaa kimya!, ni kwa kuzungumza ndio nimemfahamu ukilaza wake!.

  Hoja yake amewataka viongozi wa Chadema wajitathmini bado wako wakifanya nini ili hali kumetokea vifo 4 kwenye mikutano ya Chadema?!, akimaanisha walipaswa kuwa wameshajiuzulu long time ago!.

  Kwa kauli hii anamaanisha japo wanaofanya mauaji ni polisi, wanaosababisha mauaji hayo ni viongozi wa Chadema!. Kwa lugha rahisi, huyu **** wa UVCCM amejustfy hii Police brutality na kuutwika uongozi wa Chadema!.

  Viongozi wa aina ni ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaifanya kazi ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania iwe rahisi zaidi!.
   
 16. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  Yani ukishakua CCM tu unakua bozo, Shigella hajui hata anazungumzia nini? poor him
   
 17. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,510
  Trophy Points: 280
  Habari zinazohusu ccm au mwanachama wake huwa zinanichosha kweli..
   
 18. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  anatumia masaburi kuwaza na kufikiri
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nimemuona huyo kizee wa miaka 50 akiropoka huo utumbo.Huyu mzee hana hadhi ya kuwasemea vijana kwa sababu ni mzee.Makunyanzi yamemjaa usoni utadhani babu yangu wa miaka 80.Eti huyu kizee anajiita kijana..
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Leo nakuunga mkono kwa kumwaga mapointi..
   
Loading...