Lazima hili katika katiba tulidai. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lazima hili katika katiba tulidai.

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by cilla, Sep 4, 2012.

 1. c

  cilla JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  [h=6]sisi kama wa kristo ni lazima tupiganie katiba mpya iseme na itaje wazi wazi ushiriki wa madhehebu yote ya kikristo katika kutumia vyombo vya umma tbc.mwanzoni hili lilikuwepo lakini kwa sababu ya kutokutaka kukosolewa na kuhubiriwa kweli waliamua kutoshirikisha madhehebu mengine isipokuwa katoliki ,kkkt na anglikana,hili tumelipigania lakini majibu unayopewa pale tbc nikuwa kunautaratibu usio wazi uliowekwa kukataza kuwapa au kuandika habari za madhehebu mengine.mfano katika sikukuu zote za kikristo taarifa kutoka makanisani na habari za yaliyosemwa na watumishi mbali mbali nafasi hutolewa tu kwa makanisa ambayo mimi huamini ni makanisa ya serekali kama katoliki kkkt na anglikana na moravian tu.hili linatunyima furusa kama wa tanzania kutambua na kusikia ujumbe kutoka kwa viongozi wengine wa kikristo.bila kumung'unya maneno nyerere alikuwa nyuma ya jambo hili.kama tatizo ni umoja tu au wasiwasi wakutumika maneno ya uchochezi kwanini usiwekwe utaratibu na wahariri nao pia siwapo.heshima ya viongozi wa dini imebaki kwa wakatoliki kkkt na anglikana ambapo maamuzi yoyote yanayogusa madhehebu haya lazima yajadiliwe kwa unyenyekevu mkubwa sana.yako mengi sana yaliyojificha juu ya serekali ambayo yanaonesha ni dalili za ubaguzi wa kimadhehebu.lakini yote haya ni kwasababu ya kutokutaka kukosolewa na kuambiwa ukweli pindi wanapokosea.tunataka katiba iweke hili wazi kama tanzania ni ya wakatoliki au kkkt tujue moja
  [/h]
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Napendekeza mambo ya dini yasiwemo kabisa kwenye katiba kama ilivyo sasa
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli suala la dhehebu gani litoe ujumbe kwenye televisheni ni suala la katiba? Mbona ni suala dogo tu linalohitaji kutatuliwa na menejimenti ya tbc.
   
Loading...