Viongozi wa vyama vya siasa muungane mtoe tamko la pamoja kuitaka serikali iwajibike | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa vyama vya siasa muungane mtoe tamko la pamoja kuitaka serikali iwajibike

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Sep 4, 2012.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  viongozi wa vyama vya siasatunaomba muungane kuishinikiza serikal iwajibike kwa mauaji ya mwandishi wa habari kwa sababu msipofanya hivyo kwa sisi wananchi atuwezi kuwa na nguvu kama nyie viongozi wetu mtashindwa kutuongoza juu ya hilo, hii serikali ilipo fikia kwa kwell atuwezi kuvumilia kwa hili.
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wengi ni vibaraka wa magamba hawawezi kufanya lolote.cdm mungu atawapigania.
   
 3. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Matamko tokea Tumesikia toka arusha,mbeya,moro na hamna mabadiliko yeyote,sasa ni muda muafaka wa kwenda UHOLANZI.
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Yan mama jak roho inaniuma sana kwa mauaji ya yule mwandishi nilikuwa nafuatilia mazishi yake saizi inasikitisha sana yule mjane na watoto wa 4 atapata msaada gani na hali ya maisha ilivyo ngumu, ila tumuombe huyu mama Mungu atamsimamia sana
   
 5. m

  mamajack JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mungu akikupa jaribu,atatengeneza mlango wa kutokea.cha maana tumwombee huyo mama.na namwamini mungu hawaachi walionewa milele huwapigania.
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Huyu mleta maada anazungumzia vyama vipi vya siasa? au anamaanisha CUF, NCCR, TLP, UDP, CHADEMA, CCM na vinginevyo?oa

  Ukit CDM hapo hao wengine ni AGENT WA CCM sasa watoe matamko yapi? na matamko yanatosha kinacho bakia ni vitendo tu
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yale yaliotokea upandewapiliwa JMT ,mlibana kimya ,ila huku atujasahau Mkapa labda afe ,siku mkisikia Muungano umekufa basi mjue jamaa atashitakiwa hapo Arusha .
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Soma Uhuru la leo limeandika-Mrema wa TLP ameungana na Polisi kushambulia CDM.
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Cuf na ccm ni wana ndoa tayari so hao tayari wako nje, nccr mageuzi boss wao aliteuliwa na kikwete kua mbunge so nccr mageuzi hakuna kitu, TLP boss wao bado yuko kwenye payroll ya serikali anakula bata tuu UDP hata huwasikiagi siku hizi...hakuna vyama vya upinzani hapa tanzania ila kuna chama cha upinzani nacho ni chadema....vingine vyote ni ubabaishaji tu wanakula ruzuku za chama basi
   
 10. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya sana tuna viongozi wachache sana wa siasa na kuwatambua ni ngumu. Wengi ni wachumia tumbo tu.
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kutokana na kuzuka itikadi ya kufa mtu kila panapofanywa mkutano na CDM ,Wakuu wa jeshi la Polisi na serikali lazima wawe macho na matukio hayo ,isije kuwa ni ya kupandikizwa ili kulichafua jeshi na serikali yake iliyopo madarakani na kutoa mwanya kwa wapinzani kupata upenyu wa kuinyuka serikali.

  Inawezekana kabisa hawa upinzani wakawatumia polisi katika kutekeleza mauaji na matokeo yake ni kulibebesha jeshi na serikali lawama. Upinzani unaweza ukawanunua polisi wachache hata mmoja ,kutekeleza mauaji. Hivyo uchunguzi utakaofanywa umbane polisi alietekeleza mauaji ikibidi na yeye auliwe.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nonsensical

  Too Illogical

  Stupidity has no price Tag!
   
 13. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  DR. Ulimboka aliulizwa maswali ya kuhusiana na CHADEMA.
   
 14. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  na kweli mwiba umchoma yeyote ,utoto huu unaleta hapa
   
 15. morenja

  morenja JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  watu wengine ni kama vile ubongo bado umevaa nepi .
   
 16. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  idiot!..
   
 17. m

  markj JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  hapo kwenye read sio kufa mtu bali KUULIWA MTU NA JESHI LA POLISI. alafu jeshi la polsi linafwata maangizo ya serikali kuzuia maandamano na mikutano, iweje tena wafwate maagizo ya cdm eti wauwe mtu? hapa upeo wako unakasoro mkuu, na ninauhakika upinzani hawaja mnunua askari yoyote yule, mana kama ingekuwa wamenunua askari ni dhairi jeshi lingewajibika kumchukulia hatua askari yoyote na jeshi lingejua kwa matukio yote tangu la DR. sasa embu nikuulize mfano dr uli je? wapinzani wamewanunua wale wanaodhadikiwa? haya tuje kwa mwandishi, nadhani umeeshuhudia akiwekewa silaha huku akipigwa mbele ya rpc je nikweli wapinzani wamemnunua rpc? haya jana mwema said kakaa kikao na cdm je ni kweli wamemnunua mwema? haiingiii akilini hata kidogo, ubongo wako unakasoro mkuu, usitengeneze matukio kama filamu za kibongo! na wale askari wanaofanya vile wanapokea amri kutoka kwa wakubwa wao, je nikweli wakubwa wao wamenunuliwa? haya kule zanzibari je ni kwelie askari wananunuliwa na cdm? haya wale wapemba waliotandikwa risasi kama kuku awamu ilopita je wapinzani ndo waliwanunua askari? mkuu nina mashaka na uraia wako, au wewe sio mt ndugu yetu, utakuwa mungiki wewe.
   
 18. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu, RPC anayesema muda wake wa kustaafu umekaribia hivyo hawezi kukaidi amri kutoka juu unasema anaweza kuwa naye anatumiwa na chadema? Mbona mnaweweseka hivyo? Hiyo ni amri kutoka juu...wanaoua wanatimiza amri tu ya viongozi wa serikali ya ccm.
   
 19. i

  iseesa JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 944
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi aliyeandika makala haya ana akili timamu au ni zuzu?
   
 20. m

  mamajack JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  serikali yako ni wauaji kuanzia raisi mpaka uongozi wa uvccm.hivyo huo umakini waufanye what for????nonsense.fanya utafuti kabla ya kuleta mawazo ma kipuuzi hapa.
   
Loading...