January Makamba: The Innovator, the Most Interactive, The Deputy Minister of Communication… | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

January Makamba: The Innovator, the Most Interactive, The Deputy Minister of Communication…

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sun wu, Sep 4, 2012.

 1. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Hizi ni sifa chache ambazo nimekuwa nikisikia kutoka kwa watu tofauti humu Jamvini.., then I thought for such an innovative and interactive gentleman what is happening with communication at the moment,

  Zain : ukiwapigia watu mara nyingi simu inakatika kama mtu anakukatia
  Voda: Ukimpigia mtu hapatikani kama vile amezima simu au ukipigiwa hupatikani
  Tigo: Majuzi nilikuwa ninatafuta kuongea na watu Arusha sikuweza kumpata mtu kwa njia ya Tigo

  Sasa kuna watu inaonekana uwa wapo karibu na huyu mtu sababu sifa zaje nyingi zinatoka kwao Selemani George Smiley et al

  Sasa nawaomba hao na walio karibu na huyu Muheshimiwa kumfahamisha kuwa watu tunaotegemea simu kwa shughuli zetu za kila siku tunapata shida na hasara kubwa.., maybe before we sort out corruption by SMS maybe just maybe kwanza tujaribu kuhakikisha mitandao yetu ipo sawa (Charity Begins at Home) hata kama binafsi hawezi ku-sort out the issues…, for such an Interactive Guy basi hata atupe tu mrejesho of what is happening..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. a

  armanisankara JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huyu dogo makamba hana lolote. anabebwa na mafisadi na familia yake.
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hana lolote buyu tu hilo
   
Loading...