Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NAMUONA BWANA KARSAN WA UTPC na Mama Chiku Galawa akizungumzia maendeleo ya Mkoa wa Tanga
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM...
1 Reactions
149 Replies
23K Views
Katika kuonesha M4C siyo mchezo wakazi wa Katoro ambapo ndiyo Makako Makuu ya Jimbo la Busanda na ngome imara ya CHADEMA wanasema mbunge wa sasa Lolencia Bukwimba(CCM) basi na hana chake tena 2015...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HomeNews NEWS A Tanzanite miner in the Mererani mine. The Tanzania government passed a new mining law requiring foreign-owned companies cede a 50 per cent stake to citizens. Photo/Matt Brown AFP...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapa naona sasa ndio kazi itafanyika tena haki itatendeka kila aliyehusika ninaimani jeshi la polisi litamtia nguvuni. Na Iringa ingefanyika hivi si ingelikuwa vizuri zaidi? Hili la Mwanza...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mlw alikuwa kama baba yangu' kauli ya dr. Salim A Salim wakati wa maombolezo ya JK Nyerere. Kuna upotoshaji mwingi kuhiusu nguli huyu wa siasa za tz, africa na dunia, any way labda wengi...
2 Reactions
105 Replies
9K Views
Katika kudhihirisha kuwa wako juu ya sheria na hakuna wa kuwagusa,polisi mkoani Mwanza wamekosa kumwua afisa uhamiaji. Kwamjibu wa afisa huyo amedai mpango wa kumwua ulikuwa umepangwa na afisa...
1 Reactions
107 Replies
14K Views
Taasisi ya utafiti na kuibua matatizo yanayowakabili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam (Sikiliza) imebaini kwamba jiji hilo limekithiri kwa rushwa, vurugu, pamoja na wizi kwa asilimia 55. Akitoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumbe siko mwenyewe kwa wale wanaoshangazwa na ripoti ya Ngwilizi kucheleweshwa na kuendelea kupigwa danadana,whats going on?Je hizi kukurukakara za mbunge wa upinzani ndugu Zitto anataka...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
kasema hawezi kwenda kinyume na ccm ataulinda muungano hadi mwisho. Source: itv
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, akiojiwa kamanda kamuhunda kuhusu kifo cha mwangosi alisema "Kazi yetu ni kutekeleza majukumu na maagizo tu na mimi niliyafanya hayo yote." Unaona...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia Evarist Chahali Uskochi Toleo la 262 10 Oct 2012 MIONGONI mwa faida ninazopata kutokana na uandishi wa makala katika jarida hili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
By Nyasa Times Reporter October 13, 2012 Malawi government has asked United Nations (UN) Secretary General Ban Ki-moon to mediate the decades-long border dispute with Tanzanian over Lake...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Na yasema haya kwa uchungu na kwa uangalifu mkubwa kwasababu naipenda nchi yangu , Niwazi sasa hivi nchi inaendeshwa kwa mashindano kwa viongozi kutaka kujaribu kufanya mambo mengi kwa wakati...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Wapenyeza rushwa kuivuruga Vigogo CHADEMA washitukia KATIKA kile kinachoonekana mkakati wa kuupata Urais kwa gharama zozote, kigogo mmoja anayetajwa kuwania nafasi hiyo ya juu, anadaiwa sasa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamenusurika kutekwa baada ya gari lao aina ya Toyota Opa lenye namba za usajili T 850 BLK, kushambuliwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Katika hali inayoleta matumaini kituo cha haki na sheria kimeishaki serikali katika mahakama ya icc. Akizungumzia hatua hiyo bibi helen kijo,alisema hatua hiyo ni ya mwanzo na hawatarudi nyuma...
17 Reactions
100 Replies
9K Views
Na Walter Mguluchuma Mpanda. Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Katavi umewachagua viongozi wake watakao kiongoza chama hicho katika mkoa huo kwa kipindi cha miaka mitano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Mazingira ya kutatanisha, Chadema wamekuwa wazito kutoa tamko pale maswara nyeti yanapokuwa yanawahusu. Madiwani wa Chadema walipanga njama za kwenda kujirusha Rwanda, kwa matumizi...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
program ya operation sangara zindua tabora inayoratibiwa na bavicha wilaya tabora,inaendelea kesho saa tisa alasiri maeneo ya kata ya isevya sokoni.makamanda na viongozi mbali mbali kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…