Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwakilishi wa viti Maalumu CCM Asha Bakari Makame amependekeza kwa kamati ya kuratibu maoni ya katiba kwamba umri wa rais inafaa uongezwe ili kiongozi atumie busara katika kuongoza nchi. Amesema...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu, I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why...
6 Reactions
127 Replies
13K Views
Niliwahi kusoma sifa za viongozi na ulevi wa madaraka katika nchi ya kusadikika,hadithi iliyotungwa na mwandishi maarufu bwana Rwegasira kama sitakosea jina lake wa gazeti la Rai akijaribu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Muda si mrefu ndugu Anthony Mwandu Diallo ametajwa kuwa mshindi wa nafasi ya Uenyekiti CCM mkoa wa Mwanza. William Ngeleja (msimamizi wa uchaguzi) amemtangaza rasmi. More updates to...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Makanisa matano yamechomwa Dar, na matatu Kigoma. Kikwete kasikika akitoa onyo kali kwa waliomwua Barlow, kisha onyo la kimzahamzaha kwa waliochoma makanisa. Suddenly Kikwete kasikika kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini amepigwa mawe na kuzomewa na wananchi wa kata ya daraja II ni kwenye kampeni ya udiwani kata ya daraja II..
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Tanzania tokea uhuru haijawahi kushuhudia uvunjifu mkubwa wa amani na uchochezi wa mara kwa mara na makusudi kama awamu hii ya Rais JakayaKikwete. Tunakiri hili kwani kwa umri wa baadhi yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kwasasa ndiyo tupo uwanjani kwenye shule ya msingi midawe kuanza rasmi mkutano wa hadhara kwaajili ya kumnadi mgombea wa udiwani wa chadema bwana Erick Samson mollel, kiukweli hali ya CCM...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dkt Ali Mohammed Shein amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi, Dkt...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
nimesikia kwenye taarifa ya habari ITV, Tanzania imesaini mkataba na serikali ya Oman. Mkataba huo umewafurahisha sana Oman sababu kuna kipengele cha kulinda mali za wafanyabiashara wa nchi...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ajali hiyo imetokea muda si mrefu eneo la Buhongwa jijini Mwanza. Walikuwa wakitokea Kwimba wakielekea Mwanza Mjini kuelekea kuchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza. Magari yamegongana uso kwa...
1 Reactions
80 Replies
8K Views
Nimeona kwenye taari ya habari ITV Leo wamasai jamii ya Loita wakisema huenda wakalipiza kisasi dhidi ya wasonjo waliowavamia hivi karibuni na kuwapora mifugo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ripoti ya Kamati iliyoundwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda inaonesha kuwa Wabunge waliotuhumiwa kwa rushwa ndani ya TANESCO hawana hatia na kumtaka Waziri wa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu. 1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu. 2. Aweza akawa Rais na kuiongoza...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Askari polisi mmoja Tanzania analinda raia 1500 Tanzania. Hii ni hatari kweli kweli kwani takwimu hizi zinaashiria ulinzi na usalam wa raia Tanzania haupo. Kuna kazi ya ziad inahitajika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana nilienda buguruni nikitafta makamanda wa chadema manually,watu wengine niliouliza hawakuwa na taharifa sahihi kuhusu hao makamanda hivyo wakanielekeza makao makuu ya CUF kwa minajili kwamba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Barazani kwa Ahmed Rajab Ahmed Rajab Toleo la 262 10 Oct 2012 WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu umuhimu wa nchi kama Zanzibar ya leo kuwa na siasa za umoja badala ya kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Makongoro nyerere amegaragazwa uenyekiti ccm mkoa mara.mkoa wa mara kwa mara ingine tena wamedhiirisha wako imara baada ya kumchagua mr sanya kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa na kuwaangusha wakongwe wa...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
16/10/2012 SEREKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO IMEWASILISHA MSWAADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 07 YA MWAKA 2005 YA OFISI YA USAJILI NA KADI ZA VITAMBUSHO ZANZIBAR. AKIWASILIMISHA MSWAADA...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…