Mwanza: Wajumbe wa CCM wapata ajali mbaya, dereva afa papo hapo!

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Ajali hiyo imetokea muda si mrefu eneo la Buhongwa jijini Mwanza.

Walikuwa wakitokea Kwimba wakielekea Mwanza Mjini kuelekea kuchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza.

Magari yamegongana uso kwa uso (Coaster) na gari la mizigo... Dereva wa Coaster alokuwa amewabeba kafa palepale; wengine wameumia vibaya.

Uchaguzi huo wa CCM unafanyikia uwanja wa CCM Kirumba.

Habari hii pia imeandikwa hapa - Balaa CCM: Basi la wajumbe lapata ajali na kuua dereva | Fikra Pevu
 
mpaka chaguzi hizi ziishe kazi iko! maana ya arubino yalikuwa makubwa kabla ya uchaguzi 2010!
 
Madiwani watano hali zao ni mbaya na wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando ambao ni pamoja na Anthony Swagi wa kata ya Mwagi, Elias noninahle-ogongwa, Fesa Yasin-Ngudu, Shija Lutema - Mwamala, Adela Mayengela, Viti maalum, pamoja na ofisa mmoja wa TAKUKURU Wilaya ya Kwimba aliyetambuliwa kwa jina moja la Jilala, ambaye amevunjika Mguu wa kulia.
 
pamoja na ofisa mmoja wa Takukuru wilaya ya kwimba aliyetambuliwa kwa jina moja la Jilala,ambaye amevunjika Mguu wa kulia.

Pole kwa wote.

Ofisa wa TAKUKURU kwenye basi la wana CCM anatafuta Rushwa ili asikamate watoa na wapokea Rushwa! Ona sasa ka-RUSHWA yeye mguu. RIP dereva.

Majuto Mjukuu
 
acha mkwara wewe...mimi nimefurahi..nasubiri hiyo laana uchwara toka kwako....utu nidula nya.ne.be

Mkuu Idimulwa, Magamba ni kama Shetani kwa watanzania, kuwaonea huruma wakati mwingine ni kama tunamkosea Mungu. RIP Dereva.
 
Hivi ya wiki ya nenda kwa usalama ni mradi wa polisi wala hamna kinacho saidia poleni sana, hakuna ambaye anajua saa wala muda. dereva RIP
 
Back
Top Bottom