Kikwete 'kutua' uarabuni siku moja baada ya makanisa nane kuchomwa moto. Should we connect dots? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete 'kutua' uarabuni siku moja baada ya makanisa nane kuchomwa moto. Should we connect dots?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ramos, Oct 16, 2012.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Makanisa matano yamechomwa Dar, na matatu Kigoma. Kikwete kasikika akitoa onyo kali kwa waliomwua Barlow, kisha onyo la kimzahamzaha kwa waliochoma makanisa. Suddenly Kikwete kasikika kuwa kaelekea zake uarabuni, na kuwaacha waliochomewa makanisa wakigugumia.
  Makanisa yamechomwa na makundi ya waislamu yanayodaiwa kuchochewa na vikundi vyenye misismamo mikali na vinavyosemekana kupata ufadhili kutoka 'nje ya nchi'. Safari ya Kikwete uarabuni inaweza kuwa just coincidence, ila kwa Kikwete 'kuitukuza' katiks kipindi hiki cha majonzi kwa wakristo, kunanifanya nishawishike kuconnect dots fulani...
   
Loading...