CHADEMA NA CUF kwani tatizo ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA NA CUF kwani tatizo ni nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anatropia, Oct 16, 2012.

 1. a

  anatropia Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana nilienda buguruni nikitafta makamanda wa chadema manually,watu wengine niliouliza hawakuwa na taharifa sahihi kuhusu hao makamanda hivyo wakanielekeza makao makuu ya CUF kwa minajili kwamba hawa upinzani watakuwa wanafahamiana.Safari ya kwa mzee Lipumba ikaanza,moja mbili moja mbili moja mbili,mpaka kwa ngangari,jamani mpo?tupo karibu.Nawaulizia makamanda so and so naweza wapata mitaa gani kwani nilijua chadema wanamsingi ila sikujua wapi specific.Matusi niliyoporomoshewa Mungu anajua......Hichi chama ci hatukitaki kabisa,kwanza hawana chao hapo,nawe kichaa unaulizia chadema buguruni?umepotoka,haumfahamu profesa wa uchumi?ataja komboa taifa,hata marekani wanamtambua we si mwanaCUF au mwenzetu mchaga?na story nyingi tu,sitasema zote.Sikukata tamaa nikanyosha huyooooooooo kwa magamba,huwezi amini ushirikiano nilipewa mpaka kufikishwa kwenye tawi ilo la chadema.Nimeshindwa kuelewa labda wadau nijuze kuna nini kati ya chadema na cuf na c CCM hasimu wao namba moja?
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  wakati mwingine ujinga nao ni cheo!
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umeamini sasa? CCM na CDM wote lao moja! NI zuga tu!
   
 4. n

  nyantella JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  anatropia, Magamba na Magwanda ni kama yanga na simba, kabla ya mechi ni watani wa jadi, wakati wa mechi ni unyama unyama! hivyo magamba na magwanda wakiwa in action huwa ni Lila na Fila! ndio tulivyo watz, ni ndugu wakati wote hadi wana siasa waje na pombe zao!
   
 5. j

  juju man Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  act of futility
   
 6. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Wengine ni uamusho na wenzao ni wapigania haki.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Yaani Umeandika Maneno ELFU 3,700 kutafuta njia ya kurelate CHADEMA na MCHAGGA? Yaani haukuweza
  Kwenda to the POINT DIRECT? Ukazunguka BUGURUNI YOOTE; Nadhani ULIKUWA na GARI sio kwenye HILO JUA Na SUTI TIGHT IMELIBANA HILO TUMBO la MVINYO wa WIZI na UFISADI... IT IS A SHAME

  MAKE A GOOD POINT; CHILDRENS are OUR FUTURE !!!
   
Loading...