DC wa arusha mjini kazomewa na kupigwa mawe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DC wa arusha mjini kazomewa na kupigwa mawe.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Oct 16, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini amepigwa mawe na kuzomewa na wananchi wa kata ya daraja II ni kwenye kampeni ya udiwani kata ya daraja II..
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Na Badooooo!!!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuu wa Wilaya anafuata nini kwenye campaign za vyama vya siasa?
   
 4. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  mkuu wa wilaya alikuwa anatafuta nini kwenye kampeni? Au alikuwa anamkampenia nani? Hawa watu wa ajabu sana, wanasahau kabisa kwamba nafasi zao ni za kiserikali na si za kichama. Ningewepo katika hao, ningemkamata na kumchoma moto kabisa.
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Alipigwa sokoni, hasira zake akawaamishia wafanya biashara wadogo nmc unga ltd sasa huko daraja 2 anaweza kuhamisha kata nzima huyu jamaa ana kisasi zaidi ya yule jamaa ambaye amekwenda kwa sultani gabusi kula tende!! ha!! ha!! ha!!
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Huyu nae alikuwa ana fanya nini huko?
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,232
  Trophy Points: 280
  atajiju
   
 8. Y

  Yetuwote Senior Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebu fafanua: Kapigwa na wanachama wa CUF nini; inasemekana CUF walivuna wanachama wengi sana hapo.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu wa wilaya ni serikali. Anampigia nani kampeni?
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ehe wamemuvua nini makamanda...hijabu au kanzu?maana ccm wameshaishiwa sera
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  hilo ni fundisho!alikuja na gari la serikali?
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,218
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  Good work...
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wakuu mnao uliza alikuwa ana mkampenia nani, je hamkumbuki kauli ya pinda ya kuwa DC na RC wote wanailinda serikali ya ccm, alikoswakoswa kukamatwa na vijana wa chadema baada ya kukimbia kwa gari lake..
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kama ameuza utombo anastahili kupopolewa
   
 15. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nadhan umetuachia maswali mengi kuliko majibu. Embu fafanua zaidi. Ilikuaje? Alikwenda kufanya nini? Alitaka nini? Kwanini kapigwa? Kamati ya usalama ya mkoa ilikuwepo? Polisi je? Kama walikuwepo, walikuwa wanaangalia tu? Mabomu ya machozi yameisha huko Arusha? Vipi maji ya kuwasha? Hakukuwa na taarifa ya kiintelijensia? Vipi kuhusu polisi jamii? Hakukuwa na vitu vizito? Je vyenye ncha kali? Funguka mkuu Crashwise!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  DC anagombea udiwani au ni mpambe wa mgombea?
   
 17. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wangembaka kabisa.Anaonekana ana kiherere kama wale wanafunzi mzee
  mkubwa alisema wacho ndio maana wanapewa mimba.Alifuata nini huko atakama bosi wake alipotoka kuwa wanaruhusiwa kupiga kampeni yeye hajazisoma sheria za uchaguzi .
   
 18. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Anaitwa nani majina yake? Nakumbuka mhe Pinda alisema kuwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni Makada watiifu wa Chama Cha Mabwepande{C.C.M}
   
 19. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 889
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 80

  Umenivunja mbavu
   
 20. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45


  Si unajua tena kuwa yeye ni mwakilishi wa mkuu katika wilaya? Haya mambo ya wakuu wa mikoa/wilaya kufanya kazi za chama badala ya kazi za serikali yalishawahi kuulizwa bungeni, na waziri akasema wao ni wawakilish wa Rais ambay ni wa chama Tawala, hivyo ni lazima wafanye kazi za kichama.
   
Loading...