Askari polisi mmoja anahudimia raia 1500 Tanzania

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Aug 4, 2008
271
43
Askari polisi mmoja Tanzania analinda raia 1500 Tanzania.

Hii ni hatari kweli kweli kwani takwimu hizi zinaashiria ulinzi na usalam wa raia Tanzania haupo.

Kuna kazi ya ziad inahitajika kufanyika kuboresha hali hii.

Sorce ya taarifa: IGP Mwema kupitia Chanel Ten
 
Kwani wanamlinda nani? Mbona wao ndo wenye magenge ya majambazi na wauaji? Hawa jamaa inabidi tuwazuie kulipwa mishahara ya kodi zetu, bora wawe pirates kama alshabab ieleweke tu. We hujiulizi daktari mmoja kwa wagonjwa 30000? Hawa majambazi wangekuwa na umuhimu watu wasingeweka mageti, kufuga mbwa. Ukiwapigia simu kwamba kuna wizi unaendelea wanakwambia lete ushahidi? Nimkamate mwizi nimpeleke akawatajirishe? Si bora nimuue ili wote tule hasara.
 
Wanalinda amawana nyanyasa raia, mbali na hilo maisha yao yanatisha mara 100 kuwa mwalimu
 
Bora wawe wachache maana wakiongezeka jua pakiwaka kidogo tu mtajuta wanapiga hao

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Askari polisi mmoja Tanzania analinda raia 1500 Tanzania.

Hii ni hatari kweli kweli kwani takwimu hizi zinaashiria ulinzi na usalam wa raia Tanzania haupo.

Kuna kazi ya ziad inahitajika kufanyika kuboresha hali hii.

Sorce ya taarifa: IGP Mwema kupitia Chanel Ten
Hata kama uwiano ungekuwa wa wa zaidi ya 1: 20,000/= bado amani inaweza kuwepo, tanzania siyo kama colombia ambapo kila mwanachi ni muhalifu. kila mtanzania anawajibika kuwa mlinzi na atatoa taarifa kwa vyombo husika pale tu inapodi. tatizo la tanzania askari ni moja ya magenge ya wavunja amani nchini.. ndiyo wanao nyanyasa raia, wala rushwa, wanajihushisha na ujambazi, kukodisha silaha, wanaua raia wasio na hatia na mengine mengi ya kufanana na hayo kwa hili wala hatuhitaji waongezwe kwani italeta kero zaidi.
 
Back
Top Bottom