Makongoro Nyerere agaragazwa mwenyekiti CCM Mara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro Nyerere agaragazwa mwenyekiti CCM Mara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Oct 14, 2012.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Makongoro nyerere amegaragazwa uenyekiti ccm mkoa mara.mkoa wa mara kwa mara ingine tena wamedhiirisha wako imara baada ya kumchagua mr sanya kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa na kuwaangusha wakongwe wa siasa za mkoa wa mara makongoro Nyerere na bw Enock chambiri.

   
 2. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Makongoro analeta siasa za babake......CCM ya sasa mkono mtupu haulambwi!!!
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  Labda sasa ataamka na kutambua tatizo ambalo limekuwepo muda mrefu. Arudi tu kwenye upinzani.
   
 4. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Pole Makongoro ccm ni ya wagawa hela na wala hela na si ya watu waungwana na wenye msimamo thabiti na wa moyo wa uzalendo kwa taifa letu
   
 5. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Makongoro wakati Tanzania inaadhimisha miaka 13 tangu baba yako atutoke, tafakari maneno yake na upime mwenyewe kinachoendelea CCM. Fanya uamuzi sasa kabla hujachelewa
   
 6. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Alitegemea nini? Hayo si ndio majibu ya kutoka site aliyowakomalia mafisadi kwenye NEC?
   
 7. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,418
  Likes Received: 1,301
  Trophy Points: 280
  Lakni Mwl kwa hapa alikosea abgejitahidi kupandikiza itikadi zake kwa mwanae na wengine wengi. Alitakufanya hivyo Wakati ilikuwa too late wanaume walishateka CCM.
  Kifupi Tanzania haiwezi kuendelea kama CCM ipo madarakani. Otherwise hizi discussions tunazofanya hapa JF ni kupoteza muda tu
   
 8. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wanafiki hulipwa hapa hapa duniani. Tabia ya shetani ni mwongo, msaliti na mfitini siku zote. Makongoro CCM ndivyo ilivyo siku zote, hivi wewe kuwashambulia MAFISADI ulitegemea matokeo gani? CCM ni ya MAFISADI na ndiyo wanaamua kila kitu. LOWASSA HOYEE!
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umaskini kikwazo siki hizi mpaka kwenye siasa pole baba.Kamchango cha kuangalia Makumbusho ya jeneza la Mwalimu hakikutosha kuhongea uchaguzi nini
   
 10. B

  BigMan JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  tatizo ni la kitaifa hata huko kwingine ni hivyo hivyo tofauti ni kiasi cha fedha tu lakini kikubwa mheshimiwa makongoro bado ni mbunge wa afrika ya mashariki
   
 11. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  CCM bila Rushwa uongozi hauwezekani,we unaleta siasa za kukemea Rushwa ndani ya CCM? Chezeya Lowassa wewe,Nenda Upinzani hata kama ni CUF au NCCR kama si Chadema ukafanye siasa safi
   
 12. a

  ambagae JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 1,655
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Lakini maisha yanaendelea
   
 13. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kidumu chama Twawala,
   
 14. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Tatizo siyo CCM bali ni Makongoro mwenyewe kushindwa kujitambua kuwa huko aliko sio kwao bali ni propaganda na siasa za msimu ndizo zilizompeleka huko, muda si mwingi tutakuwa naye kwani hata mwalimu kama leo angekuwa hai tayari angekuwa ameshajiunga na CDM. Makongoro karibu nyumbani ila si kwa ajili ya kutaka vyeo, bali kukiimarisha kwanza
   
 15. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hii inadhihirisha walivyo dhaifu na ni pigo kwa demokrasia ndani ya chama hicho. Hata hivyo ni jambo jema kwa wapinzani. Wafuatiliaji wa siasa za CCM walijua mapema kuwa huyu Sanya angeshinda kwani walijua amebebwa na nani.
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Makongoro hana sifa ya uongozi anabebwa na jina la baba yake Mwl Nyerere, mtu makini ni Madaraka.
   
 17. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Uongo mbaya. Kwenye hizi chaguzi za CCM Lowasa amewaumiza wengi. Watakuwa na nguvu kiasi gani nje ya CCM (kwa wananchi), tusubiri 2014 uchaguzi wa mitaa tuone.
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Makongoro bado anategemea michango ya rambirambi ya babake....................................hawezi kuondoka ccm
   
 19. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Alitegema nini baada ya kuwakomalia mafisadi?
   
 20. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  KAMBI YA FISAD LOWASA YA KUWANIA UPRESIDAA INAZIDI KUIMARIKA NA KUNAWILI LKN WATANZANIA TUTAONGEA KT BOX LA KURa, ONGERA EL
   
Loading...