Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi naombea sana Anna Kilango ashindwe kuokoa wafanya kazi wa Legal Dept pale NSSF .Binti kaingia hapa kwa makeke akidai ana MSc toka Uk na wenzake wote wenye LLB ya Tanzania ni wajinga.Ni mgeni...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
Ndugu zangu, Wahenga walisema; Kamba hukatikia pabovu. Na siku zote, uzoefu ni mwalimu mzuri sana. Mathalan, uzoefu unatufundisha, kuwa kuwasha moto ni jambo jepesi sana, lakini, kuuzima...
1 Reactions
4 Replies
948 Views
Wadau, mkutano wa 8 wa Umoja wa Wanawake Tanzania(CCM) ndo umeanza punde Dodoma. Moja ya vitu vya msingi leo ni uchaguzi wa mwenyekiti wa jumuiya hiyo taifa. Mchuano mkali ni kati ya Sophia...
0 Reactions
85 Replies
11K Views
Wakuu hapa mnaweza kujua ni jinsi gani bandari yetu iliyooza, angalia habari hii kutoka website ta CNN. Ukitaka uchoke zaidi jaribu kujua nani mhusika halafu angalia hatua gani zitachukuliwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jamii na wasomi waliobobea katika mambo ya siasa naomba tuujadili japo kwa ufupi huu mfumo wa "ujamaa na kujitegemea" ambao tunaambiwa na wanasiasa wetu na hata kuambiwa (kama si kufundishwa)...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
20/10/2012 Source: http://www.wavuti.com/4/previous/2.html#ixzz29swZ9ZHg
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna tetesi kesho CUF watatoa tamko kuhusu kukamatwa kwa shekh ponda, ktk mkutano wa Buguruni,.........na kutoa njia ya ufumbuzi wa tatizo.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
UWT....kwa maana ya Umoja wa Wanawake Tanzania, ndo wamemaliza uchaguzi wao wa ndani, but binafsi sion sababu kwa nn bado wanaendelea kujiita kua n Umoja wa Wanawake TZ, wakat huo n umoja wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MAALIM SEIF Kuunguruma KESHO Jumapili (21/10/2012)Jijin DAR ES SALAAM(Mkutano wa Hadhara utakuwa Buguruni Shell) Kuanzia saa 8 mchana.
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Binafsi naomba nikupigie saluti ya ukweli kwa kuonesha uwepo wako katika nafasi yako kama mwenyekiti wa vyama vya siasa. Mimi kama mwana mageuzi ningeshangaa kama sekeseke hili lingepita...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Kutokana na viongozi karibu wote wa CCM wilaya ya Kilindi kutoka katika kanda moja inayohusisha kata za Mkindi, Msente na Mswaki maeneo ambayo kijiografia yapo karibu na Handeni na ambayo hayana...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi nashangaa jmajuzi msafa mrefu ukiongozwa na landrover ya polisi kuzuia magari imewasha taa zote nikadhani waziri au makamu wa rais .kumbe mchungaji kwa jina jo dave .nabii .kisa kupewa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
NI aibu na hatari nchi kutegemea hii CCM ibaki madarakani.CCM yenyewe haijiwezi kila uchaguzi hauna democrasia.Wanapigana kila mahali sasa akina mama wametukanana na pegine kutwangana.Itakuweje...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
“Sijala kitu chochote kwa sababu hiyo nyumba haikaliwi na mtu lakini hata kama ningeletewa chakula nisingekula kwa sababu siwezi kuwaamini kula chakula chao kwa hivyo nilichokuwa nafanya nikienda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jengo la Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam linavyoonekana kwa nje baada ya kukamilika. Jengo hilo linalomilikiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Yanayotokea katika nchi yetu kwa sasa yanatutaka tufikiri kwa bidii. Kama nchi kuna safari tumeifunga. Na tulivyo Waafrika, tu mahodari wa kufunga safari, lakini si mahodari wa...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Tendwa sasa anywea kwa Chadema Na Khamis Mkotya HATIMAYE Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amekubali kukutana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kuwapo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Membe unajua jengo la ubalozi haliguswi, linalindwa na kuheshimiwa kama sehemu ya nchi husika. Sasa wenzetu wana ubalozi wao huko nyumbani na balozi wao Dk Bilal ni high kamishna maana hata gari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tulisikia vilio vyenu! Polisi auawa kinyama zanzibar mpaka leo hamjatoa tamko? Kweli mna double standard!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habriya Leo saa mbili usiku Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV 1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…