Halmashauri ya wilaya Chato imekithiri kwa vitendo vya rushwa na uzembe katika kutoa huduma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halmashauri ya wilaya Chato imekithiri kwa vitendo vya rushwa na uzembe katika kutoa huduma.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kanyabukogoto, Oct 24, 2012.

 1. k

  kanyabukogoto Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pale halmashauri kuna usumbufu mkubwa kwa watu wanaofika pale kupata huduma,matharani kuna watu walienda pale kupata huduma lakini walikuwa wanalalamika kwamba mara unaambiwa fail lako halionekani,mara mpaka ujaze opras ndo ushughulikiwe.

  Masecretary ndio usiseme, wana nyodo hakuna mfano.haya yote nimekuja kuyashuhudia mimi mwenyewe baada ya kwenda pale kupata huduma, nimesumbuliwa mpaka nimekata tamaa ya kuendelea kufanya kazi katika halimashauri hii.

  Tangu wapate hati chafu iliypopelekea kuhamishwa kwa ubadhirifu kwa aliyekuwa mkurugenzi wa halimashauri hiyo Bi.HAMIDA KWIKWEGA,wakuu wa idara na baadhi ya wafanyakazi wamekuwa wakikatwa 15%ya mshahara kufidia ubadhirifu huyo sasa wameamua kulipiza machungu yao kwa wananchi wanaofika pale kupata huduma,hii ni baada ya kuzibwa mirija iliyokuwa inasababisha kula pesa za serikali isivyohalali.

  WAHUSIKA FANYENI UFUATILIAJI MAANA WENGINE TUMEKATA TAMAA YA KUENDELEA KUFANYA KAZI KATIKA HALMASHAURI HII.
   
Loading...