Kikwete ccm tayari ilishatumbukia shimoni

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Magazeti,Television zmeandika an kunukuu kauli ya Rais Kikwete ambaye ni mwenyekiti wa Magamba akisikitishwa na utoaji Rushwa unavyokidhiri katika chaguzi za Magamba. Anasema " Hii hali isipodhibitiwa itakitumbukiza chama shimoni"

Nauliza hivi Kikwete hajui kwamba Chama chake kimeshatumbukia shimoni na kinasubiri kufukiwa 2015? Au ndio ile ile kasi mpya an ari mpya!
 
Back
Top Bottom