CCM kwaheri!

Masula

Senior Member
Oct 8, 2012
116
29
Kwa hamasa iliyoonekana katika mkutano uliohutubiwa na kamanda F.Mbowe mwenyekiti wa taifa CHADEMA hapa Vwawa,Mbozi,ccm itabwagwa hata kwa mbinu zozote watakazozitumia.Watu wa huku wameikataa ccm.Mikutano ya ccm inapuzwa na wananchi. Ccm ina harufu ya kifo.Kifo cha nyani kila tawi linateleza.Mbinu zote za ccm zimeshindwa.
 
Hakuna dawa nzuri kama kulinda kura. KULA CCM KURA CHADEMA ENEZENI HII KAULI MBIU.
 
Maandalizi ya kuiaga CCM ndiyo tunayoifanya,ila ninachowasifu ni Roho ngumu kama za Paka.
 
Kwa hamasa iliyoonekana katika mkutano uliohutubiwa na kamanda F.Mbowe mwenyekiti wa taifa CHADEMA hapa Vwawa,Mbozi,ccm itabwagwa hata kwa mbinu zozote watakazozitumia.Watu wa huku wameikataa ccm.Mikutano ya ccm inapuzwa na wananchi. Ccm ina harufu ya kifo.Kifo cha nyani kila tawi linateleza.Mbinu zote za ccm zimeshindwa.

Hakuna dawa nzuri kama kulinda kura. KULA CCM KURA CHADEMA ENEZENI HII KAULI MBIU.

ccm oyeeee!

Aiseeee babaangu magamba 2tayabanduwa kwa dawa ya madowa

Angalia hapa

Mwaka 2005 - 2010

kikwetehotuba.jpg

Mwaka 2010 - 2012
J. K..jpg

pinda-bungeni-mawazo.jpg

CCM Mahututi.jpg

Mwaka 2012 - 2015

profilepic 2015.JPG

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!​
 
Ni faraja sana wanangu kuwa CCM itakufa na Kikwete. Natamani siku hiyo makao makuu yahamishiwe Bagamoyo kama siyo Bumbuli kwa Makamba ili angalau wawe na souvernir kwenye makumbusho yao. Go CCM go
Go perish like KANU
Go to the Oblivion
Go with your destruction
Go with your hellish vision
I pray the devil back to hell
Go CCM go
Go nary turn back
Go as we have you to mock
 
Ama kweli CCM! Mbona wamekuchoka hivyo? Nisinge penda ufe, bali ukae pembeni uone mfano toka kwa CDM.
 
nimeelekeza nguvu zangu zote kukiua hiki chama,kifo chake ndio faraja yangu, yeyote aliye tayari naomba ushirikiano tulifanikishe hili kwa pamoja. hakuna kitu cha thamani naweza kuaachia watoto na wajukuu wangu zaidi ya kuweka serikali imara katika nchi yangu, na kwa kweli kabisa, nimedharia kulifanikisha anguko la chama hiki kwa gharama yoyote ile, baada ya apo hata kifo kikinijiia nitakikabili kwa moyo mkunjufu.
 
Kama ndoto vile!

Lakini siyo kweli kwa sababu wenye kupost kwa kuficha majina hata KURA hawatapiga, watu walioko tayri KULA CCM halafu KURA wapeleke CDM hawako makini!

CCM kweli itakufa lakini not so soon like 2015 au 2020 labda 2035!!!
 
yaani ccm naombea kila siku kife tena zaidi hata ya KANU maana watajisifu sana wakibaki kama huko Kenya
 
nimeelekeza nguvu zangu zote kukiua hiki chama,kifo chake ndio faraja yangu, yeyote aliye tayari naomba ushirikiano tulifanikishe hili kwa pamoja. hakuna kitu cha thamani naweza kuaachia watoto na wajukuu wangu zaidi ya kuweka serikali imara katika nchi yangu, na kwa kweli kabisa, nimedharia kulifanikisha anguko la chama hiki kwa gharama yoyote ile, baada ya apo hata kifo kikinijiia nitakikabili kwa moyo mkunjufu.

aiseeee babaangu embu gonga tano kwanza naungana na wewe
 
aiseeee babaangu embu gonga tano kwanza naungana na wewe
Du hata Wahorombo nao wako Mbeya kweli NDOTO ZA ALINACHA nani kawaambia Kampeni za 2015 zimeanza?
Watu leo wako uchaguzi wa UVCCM watu wa kaskazini wako Mbeya wanashangilia ushindi wa 2015v mtasubiri hadi 2025 km viongozi wenu ndio hawahawa wa kutoka kaskazini aliowatabiria Nyerere
 
Back
Top Bottom