Jimboni IRAMBA MAGHARIBI: Dhiki na shida tunazopata ndani ya jimbo hili... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimboni IRAMBA MAGHARIBI: Dhiki na shida tunazopata ndani ya jimbo hili...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanakidagu, Oct 24, 2012.

 1. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndg zangu'tujadili ya kwetu.Matatizo yetu yatapata majibu endapo tutajadili wenyewe.
  Mosi,adha kubwa ni MAJI,kwa matumizi ya kila siku.je ahadi hz zote tunazopewa na ccm toka mwaka 1985-2012 mbona hatujapewa maji?.je tubadili mrengo mzima wa siasa za jimbo hili!kwa maana ya kuchagua mbunge toka vyama vingine nje ya ccm?.ndg mwana iramba magharib jukwaa ni lako sasa changia hapa.maana tuna miaka 3 mbele ya kuamua.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Ndo kwa Nchemba eeh!? Atakuja hapa kufunuka,subiri
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  dhubuutu!
   
 4. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wewe ujui Ccm nikitu mfu ?
   
 5. Ndulungu

  Ndulungu Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo wala si la kuuliza kuendelea kuikumbatia ccm ni sawaswa na kuendelea kuukumbatia umaskini lazima vijana tuungane kuleta mabadiliko na chadema ndo mpango mzima.
   
 6. J

  Jackson Temu Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watu wa hapa wao mbunge akija wanamwomba pesa tu maji wala hawana habar
   
 7. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hee uko ccm wanasema wametaga mayai mengi ya wajinga kwa ajili ya kanga na kofi. Nilikuwa napita tu,kila la heri wakuu!
   
 8. d

  dotto JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maji = kanga,t-shirt na kofia za kijani 1985 -2012. Pole!!
   
Loading...