Beno Malisa umeona mbali hongera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beno Malisa umeona mbali hongera

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Oct 24, 2012.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kitendo cha Beno Malisa kutogombea tena uongozi ndani ya UVCCM kulingana na mazoeya ya viongozi wengi wa CCM ni dalili tosha ya kuwa kijana huyu ni mjanja na anajua kusoma alama za nyakati. Naamini kijana huyu amegundua kuwa CCM haiponi tena na amekwepa asiwe mmoja ya ambao CCM itawafia mikononi. Hongera Beno kwa maono ya mbali.
   
 2. m

  mwanza JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 508
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 60
  Joblube ni kwamba Malisa haruhusiwi kugombea tena kwa kigezo cha umri
   
 3. S

  Shembago JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna gamba linalojiuzulu kweli? Sijaliona!!!
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,745
  Trophy Points: 280
  Huyu hakugombea kwa kuwa ame- expire, umri umpitili.za
   
Loading...