Mgombea wa CCM uchaguzi wa udiwani Kata ya Mpwapwa hoi kifedha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa CCM uchaguzi wa udiwani Kata ya Mpwapwa hoi kifedha.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ebaeban, Oct 23, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Kwa kile kinachoonyesha kufilisika Mgombea udiwani kata ya Mpwapwa ameanza kuuza mahindi ili kumudu gharama za kampeni, wameanza kugombana na mkewe anasema anauza mahindi ya chakula akishindwa huo udiwani watoto watakula nini?
  Hii ni kutokana na wapambe wake kujenga tabia ya kumwomba hela za maji ,za chakula kila baada ya kampeni kwisha.

  Ameuza ngo`mbe mbili moja akiwa na mimba kafanyia kampeni hela zimekwisha, sasa kaanza kuuza mahindi ya chakula hii ni kutokana kuwazoeza pesa wapambe wake hasa wanawake.
  CCM katika wilaya hasa jimbo la Mpwapwa imemeguka vipande vipande vyinavyoitwa kambi. Kambi ya Mbunge wa hapa Mh Teu imemsusa kabisa Mgombea huyo aitwae George Fuime kwa sababu ni kambi ya mbunge wa zamani Mh LUBELEJE.
  Wanainchi wa jimbo hili wanashuhudia kwa mala ya kwanza kambpeni kwa sababu mala zote huwa wanapita bila kupingwa. Kwa hakika CHADEMA imekubalika vilivyo kwa sababu mgombea wake Mpina Baharia kampeni zake zinagharamiwa na wapiga kura kwenye mikutano ya hazara,maana wakitoa wito wa mchango mda kidogo tu kapu limejaa hela.sasa wenzetu CCM watu hawahuzulii kampeni zao kiasi sasa wanapita nyuma hadi nyumba mithili ya vigoma vya daku . Tuna matumaini makubwa CHADEMA itaibuka kidedea na kuivunja kabisa ngome ya CCM
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mahindi yakiisha auze nguo za ndani.
   
 3. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  View attachment 69095

  Kwani hufahamu kuwa yule mfadhili wao mkubwa Mzee Shelali (pichani) ameamua kwenda CDM baada ya kuchoshwa na kutoa msaada tangu 1983 (kufadhili chama) bila chama hicho kuleta matumaini.

  View attachment 69094
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Mwisho atamuuza na mke
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  nguo zikiisha sijui atauza nini? Who knows
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nitajie kikosi kazi cha kampeni cha chadema kamanda.:A S crown-1:
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kawaida wakiona maji ya shingo inakula kwa mgombea...auze Nguo ya ndani ndo ilobaki.
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kazi ipo.
   
 9. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kazi njema makamanda.
   
 10. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Atauza masaburi!
   
 11. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapo thatha! wewe unadhani atauza nini??
   
 12. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ccm hoi
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  atauza naniliu...who knows.........
   
 14. J

  Jackson Temu Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ataisoma no!
   
Loading...