Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Kinana kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa ccm, kimetudhihirishia wazi kuwa kwa sasa chama hicho kipo kwa maslahi ya nani. Ni kwa muda mrefu Watanzania wamekuwa wamekistukia chama hicho kuwa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
katika mkutano wake na wanahabari Warioba amesema sio kweli kuwa wanalipua na kuupeleka puta mchakato huo. Amesema kuwa wanafuata taratibu walizojiwekea na watu wote watafikiwa. Warioba anasema...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu ndiye aliyekua naibu Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN). Kwa exposure na experience yake in a global context itaisaidieaje nchi ikiwa sasa amebanwa ndani ya chama. Taifa litanufaika vipi na...
1 Reactions
104 Replies
8K Views
Kama kwenye katiba wataweza kupunguza serikali kujihusisha na biashara ambazo ambazo zinatakiwa kuachiwa wananchi Tanzania itaendelea sana. Sababu kubwa ya Tanzania kuwa masikini ni kwa kutokuwa...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
J.M. Makweta alizaliwa 15.6.1943 na amefariki 17.11.2012 wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo na figo. Nawapa pole sana wafiwa wote. Mwaka...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo kimesitisha chaguzi zake zote za ndani zilizokuwa zifanyike kuanzia mwakani.Kwa mujibu wa taarifa hyo ambayo imesambazwa nakala zake kwa viongozi wa mikoani na...
4 Reactions
72 Replies
5K Views
Lwaitama anasema mkutano wa juzi wa CCm unaweza kukileta chama hicho katika chati mpya kwa walivyojipanga na kukubaliana kuwa watulizane, wasiue chama maana wote watakosa. Wakakubaliana kuwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani si jingine Ila ni hill la kuchangia ujenzi WA shule za sekondari nipo wilayani kilombero nalishuhudia kwa macho yangu pasipo ambiwa na Lissu. Jamani wananchi wanateswa wanalazimishwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
by JOHN BUKUKU | Jambo Leo | NOVEMBER 18, 2012 MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) wilayani Arusha waliogoma kumtambua Meya wa Jiji hilo, Gaudence Lyimo sasa wanadaiwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Authorities in Switzerland have given their Tanzanian counterparts tough conditions, which should be implemented, before the Swiss could cooperate in tracing the stolen billions allegedly being...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MWONGOZO KUHUSU UTARATIBU WA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI KUSHIRIKI KUTOA MAONI YAO KUHUSU UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA _________________________ Kwa kuwa mchakato wa kupata Katiba Mpya ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa mkutano wa kuchangia maoni ya Katiba ya Tanzania, Profesa Mwesiga Baregu, akiwa na wajumbe wezake Mhe Fatma Said Ali na Mhe.Ali Saleh, wakifuatilia maoni ya Wananchi wa Shehia ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kampeni kubwa juu kundi kubwa hilo la kiislamu ni kutaka zanzibar huru na sio vengine.nikundi lilobahatika kua na mvuta mkubwa visiwani zanzibar.uamsho ni jumuiya ya kiislamu ambayo ipo miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ITV leo imemwonesha m/kiti wa Jukwaa la Katiba Bw.Deus Kibamba akidai kuwa kamwe kwa hali iliyopo hatutaipata katiba mpya 2014. Na kuwa utawala haujaliweka bayana hilo. MADHARA YAKE NI VITA IWAPO...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza kimelaani tabia ya wanasiasa kuhamasisha wananchi kutotii sheria. Akizungumza mjini hapa jana, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Elias...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali ya muendelezo wa madudu katika mahakama yetu ya Tanzania, mwezi June mahakama iliajiri Mahakimu wakazi wapya 300 wenye degree za sheria(LL.B) na kupitia lawschool ili wakafanye kazi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 19/11/2012 // Kitaifa // 8 Comments Wazanzibari wanakaribia kutimiza nusu karne ifikapo January 12 tokea Mapinduzi ya nchi hiyo, kuna fikra tofauti ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna mmojawapo wa viongozi/wawakilishi wa CCM aitwaye Eliza Luhanga kutoka Marekani DMV karushwa toka maelfu ya kilomita kupiga kura pale Dodoma kwenye uchaguzi wa CCM...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
AUGUSTINO LYATONGA MREMA Sikuwa na njia ya kumpinga mgombea wa CCM aliyepitishwa na ngazi zote zinazotakiwa na chama, hata kama hafai. Ukimpinga watauliza; huyu Mrema vipi, labda zi mwenzetu. Mtu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…