Utoaji wa Maoni ya Katiba ya Tanzania Shehia ya Mtoni Kidatu.


A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Messages
859
Points
0
A

abdulahsaf

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2010
859 0
[h=3][/h]

Mwenyekiti wa mkutano wa kuchangia maoni ya Katiba ya Tanzania, Profesa Mwesiga Baregu, akiwa na wajumbe wezake Mhe Fatma Said Ali na Mhe.Ali Saleh, wakifuatilia maoni ya Wananchi wa Shehia ya Mtoni Kidatu wakichangia maoni yao mbele ya Tume ya kukusanya maoni, wakiwa katika kiwanja cha Garagara daraja bovu.
Mwenyekiti wa mkutano wa kutowa maoni ya Katiba Profesa Mwsiga Baregu, akitolea ufafanuzi jambo wakati wa utoaji wa maoni ya uchangiaji wa Katiba

Mwananchi wa Shehia ya Mtoni Kitwana Juma, akitowa maoni yake kwa Tume ya Marekebisho ya Katiba katika viwanja vya Garagara darajabovu.
Abdalla Mohammed , akitowa maoni yake mbele ya Tume ya Katiba Tanzania, ilioanza mchakato wake wa kukusanya maoni ya Wananchi wa Wilaya ya Magharibi Unguja.
Wananchi wakiwa katika viwanja vya garagara daraja bovu. wakisikiliza maoni ya Wananchi wanayowakilisha mbele ya Tume.
Mwananchi wa Mtoni Kidatu, Bakari Mnyamani, akitowa maoni yake kwa Tume ya Marekebisho ya Katiba, ilipoanza mchakato wake wa kukusanya maoni kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi.

Mwananchi Johari Mohammed akitowa maoni yake mbele ya Tume.

Bi. Saida Shaa akitowa maoni yake kuhusu muundo wa Serikali ya Muungano, wakati akitowa maoni yake mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Jamhuri wa Muungano Tanzania.
Wananchi wakitowa maoni yao kupitia fomu maalum zilizotolewa na Tume kwa Wananchi ambao hawakupata fursa ya kupata nafasi ya kusema mbele ya Tume wakiwa katika viwanja vya mkutano Mtoni Kidatu daraja bovu.Afisa wa Tume ya Katiba akigawa fomu maalum za kutolea maoni yao katika viwanja vua mkutano
Wananchi wakisubiri kutowa maoni yao, wakiwa katika sehemu maalum iliowekwa kwa Wananchi kusubiri kutowa maoni yao kwa jinsia tafauti kwa zamu.ikiwa ni zamuu ya Wanawake wakiwa katika viti.


Profesa Mwesiga Baregu, akizungumza na waandishi wa habari jinsi wananchi walivyoitikia wito na kutowa maoni yao.


Imewekwa na MAPARA at 5:48 PM
 

Forum statistics

Threads 1,296,597
Members 498,672
Posts 31,253,287
Top