Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna mmojawapo wa viongozi/wawakilishi wa CCM aitwaye Eliza Luhanga kutoka Marekani DMV karushwa toka maelfu ya kilomita kupiga kura pale Dodoma kwenye uchaguzi wa CCM wakati huo huo akiwa ni mwanachama wa chama cha upinzani nchini.
JK naye kaingizwa King kuandaa chakula kwa ajili ya hao wawakilishi wakati wengine walishaukana uraia wetu huku wakiruhusiwa kupiga kura kwenye uchaguzi huo. Sasa hii ndiyo demokrasia au watu wanatafuta nafasi za kuchomokea au ndo changa la macho.
Ni lini Eliza karudisha kadi ya CHADEMA au safari ilikuwa ni kwa ajili ya shughuli maalum? You can't be two places at the same time.
Je hapo Dodoma walikuwepo watu wangapi wa namna hii na wakaruhusiwa kupiga kura?