Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu, angalieni utumbo huu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama! Eti majaji wote wamepatikana kwa kufuata taratibu, na wote wana sifa!! Hata yule anayesoma Chuo Kikuu Huria, ambaye kawa jaji...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwa uongozi wa chama kilicho madarakani,je watu kama MKWAWA,KINJEKITILE na mashujaa wengine waliotangulia mbele za haki ambao hawakuwa na elimu hata ya chuo.wakirudi nakukuta viongozi ambao tuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kipindi cha haba na haba leo asubuhi kinachorushwa na BBC, nimeshtushwa na jibu la huyu mama alipoulizwa kuwa serikali imefanya nini kusaidia watoto wa mtaani! Jibu; Kila wilaya kuna...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama watanzania hatutaburuzwa katika kupata katiba mpya tunapenda kuona chaguzi zetu zinakuwa huru nahaki. . Kupata viongozi bora wasiotumia pesa kununua uongozi kama hapa kwetu ni muhimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja ya mikakati aliyotangaza MH. Kikwete baada ya kuingia ikulu ni kuitoa nchi mahala ilipo na kuifikisha mahali pengine! Je unajua kama ameshalitimiza hilo? Ame2toa kutoka mchele kilo 1 tsh 800...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Anaweza tena kupora mamlaka ya mwendesha mashitaka na jaji kama alivyofanya 2008 kuhusu wezi wa EPA? Anaweza kwenda na kusimama Bungeni kuwapa wahusika mwezi mmoja kuzirejesha la sivyo watinge...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Inafaa Ndugu Kikwete apumzike sasa. Amelitumika Taifa kiasi cha kutosha. Kazi aliyofanya ni nzuri, lakini there is nothing to be gained kwa yeye kuendelea kuwa CCM Chairman. Kikwete ni spent...
5 Reactions
84 Replies
7K Views
Katibu wa vijana wa CCM Mkoa anaitwa jukwaani Katibu wa vijana anasema nimekuja kusema ukweli na kubadilisha ule uongo uliosemwa na Mpemba mwenzangu jana, jana alisimama mwenzangu wa huko huko...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Katika hali tete isiyo aminika ccm london wamenyimwa mwaliko wa kuhudhuria mkutano mkuu wa ccm 2012 dodoma kwa kile kinachosadikiwa kuchokonoa ufisadi wa mradi wa mamilioni uliofanywa na wakubwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi heshima kwenu, Kwa ambao wanafuatilia siasa za tanzania kwa njia ya indirect au ushahid wa kimazingira mhe Lowassa amekuwa kama jalala ambalo kila mwanasiasa anayetaka kujijenga...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Nimependezeshwa sana hatua Waziri wa mambo ya Nchi za Nje Mh. Bernard Membe anazozichukua zidi ya Malawi kuvamia eneo letu la Ziwa Nyasa. Non-Violent Approach as first option. Ameedhihirisha upevu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Written by zamko // 11/11/2012 // Habari // 3 Comments Assalamu Alaikhum ndugu Wazanzibari wa ndani na nje ya Visiwa vyetu adhimu. Baada yakuwa nyumbani kwa muda hivi nimeweza kufanya...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
watanzania naona kuna mambo mengi sana yapo mezani na mengine yanakuja huku tukiwa na waandishi makanjanja ambao huw aissue ikishatoka ktk topo ten hakuna wanaopoteza muda kuzifuatilia hizo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ahmed Rajab Toleo la 267 7 Nov 2012 MAGHARIBI ya tarehe Mosi Machi 1973 Balozi wa Saudi Arabia nchini Sudan, Abdullah al Mahlouki, aliwaalika mabalozi na wanabalozi wengine kwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais kikwete kwa niaba ya watanzania amempongeza Rais Obama kwa kuchaguliwa tena kuliongoza taifa hilo kubwa dunian, na ameahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo mbili.......ITV news!
0 Reactions
31 Replies
3K Views
leo wanamzumbe tumekutana wale wanachama halisi ndani ya chuo kikuu MZUMBE pale kwenye ofisi za tawi la chadema mzumbe na kufanikiwa kuandaa changamoto na mipango ya maendeleo ya tawi kwa ujumla...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa mtazamo wangu na walio wengi Mh. Dkt. Jakaya Kikwete ni kiongozi aliyeweza kukienzi katika kipindi hichi cha mpito sio kisiasa tu hapa nchini bali pia mpito wa matatizo ya kiuchumi duniani kwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakati umefika wa kila mtu kujitegemea au kujihami mwenyewe kwa lolote lile kwani kwa hali inavyokwenda Zanzibar hapana usalama wa Raia tena! Serikali iliopo imeshindwa na wao binafsi ndio chanzo...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
UCHAGUZI wa Rais nchini marekani umeisha na mshindi amepatikana bila chenga. Ushindi wa Obama sio tu umepongezwa na wana Democracy pekee yao, bali na wapinzani wao wa Repablican wakiongozwa na...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Wakuu leo mwenye kiti wa taifa wa BAVICHA Johni Heche leo atakuwa anakikao cha ndani na wanachadema tawi la chuo kikuu SAUT,Mwanza,so makamanda mlipo hapa SAUT fikeni kwa wingi pale Nyegezi kona...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom