Ndugu zangu wapenda mabadiliko watanzania wa kweli Asalam aleikum!
Baada ya kuwa mmepotelea kwenye siasa za magamba muda mrefu naomba kuwajulisha kuwa kwa utaratibu waliobuni mkoani Kagera kila...
CHAMA cha Mapinduzi kinakabiliwa na shinikizo kubwa la mabadiliko ya uongozi, taarifa zikibainisha kuwa msukumo huo unatoka miongoni mwa wana-CCM na hata nje na hasa upepo mbaya wa kisiasa...
As the scale and pace oflarge-scale land acquisitions increases globally, evidence is mounting that theland rush is out of control and that the price being paid by affectedcommunities is...
What should be done in African countries to practice a free democracy????
To me the only solutions are;
1.The ruling part and the state should be divorced.If u look in most of the African...
Ni mabendera tu ya CCM kila kona ya kuingia na kutoka mjini. Maswali kadhaa nimejiuliza:
1. Dodoma ni nchi nyingine ndani ya Tanzania yenye chama kimoja tu?!
2. Hii jeuri ya kupeperusha mji mzima...
Nimesikitika sana, Mh. Nape Nauye kutuita wana CCM wahuni wanaotumia hela za kifisadi kukichafua chama. Hama kwa kumjibu Mh. Nape sitatumia Jadhba, napenda kutumia maneno ya kistaarabu na hoja...
baada tu ya kumalizika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 chama DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA kilisisitiza kuyakataa matokeo na kuahidi kuwa JAKAYA .M. KIKWETE hatamaliza kipindi chake cha miaka 5...
Habari ya asubuhi wanajamvi!Kwa karne hii,kumtoa mwanachama kutoka sehemu moja hadi nyingine kwenda kupiga kura ya ndiyo au hapana eti kwa sababu ya utaratibu wa chama mimi naona si haki kwa...
Acha watu tufanye kazi, kama lengo lako ni mapato fuata kanuni na taratibu dhibiti mapato, sasa hata kuingiza meli tuombe ruhusa wizarani? Bandari iko wazi meli zimejaa nje, mpaka mbumbumbu fulani...
serikali kupitia kwa mwanasheria mkuu imekubali kuichukua hoja ya kuhusu watanzania walioficha fedha haramu nje na kudai kuwa itaifanyia kazi kutafuta ukweli na kama ikiwezekana kuyarudisha ndani...
Wanajamvi
Nawasiwasi na Urais wa jk. Kwani nadhani alijiuliza, nifanye nini ili niwe Rais, wazo la mtandao likamzalia matunda ya kutimiza ndoto ya kuwa president kwa ushindi wa kimbunga.
Na...
Jana Ijumaa kikao cha bunge kimemalizika! Wabunge walikusanyika wakiiuliza serikali maswali huku mishipa ya shingo imewatoka! Serikali nayo ikijibu kwa lugha nzuri na tamu na zinazoahidi mema...
Veteran politician and long serving retired legislator, Dr Chrisant Mzindakaya has strongly recommended re-appointment of President Jakaya Kikwete as the National Chairman of Chama Cha Mapinduzi...
jumla madiwani wapo 14 ktik wilaya ya ILEMELA , na waliokuwa wanahaki ya kisheria ya kupiga kura ni 12, ambao ccm ni 5, cuf 1, cdm 6, na wawili walivuliwa uanachama ktk jumla ya wale 14. na...
Toleo la 245 | 27 Jun 2012
Ni kati ya watoroshaji sita wakuu
Kikao cha Baraza ka Mawaziri kujadili
Membe asema mabilioni hayo yatarudi tu
VIONGOZI wawili wastaafu waliopata kuitumikia nchi...
NGUVU za Serikali za kutaka kuifuta hoja binafsi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Kabwe Zitto ya kuitaka Serikali kuchukua hatua dhidi ya Watanzania walioficha fedha haramu nje ya nchi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama Cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha kinyama alichofanyiwa Sheikh Fadhili Soraga cha kumwagiwa tindikali sehemu ya uso na kifuani. Sheikh Soraga...
Spika anatoa maelezo juu ya tuhuma za wabunge kula rushwa sasa hivi bungeni...
===========
- Maswi aliwatuhumu moja kwa moja baadhi ya wabunge kwa maandishi kutaka rushwa na wakimtishia kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.