Kwa hili nilikuwa nampinga sana Lissu ila sasa naona

ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined
Mar 3, 2012
Messages
97
Points
125
Age
82
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined Mar 3, 2012
97 125
Jamani si jingine Ila ni hill la kuchangia ujenzi WA shule za sekondari nipo wilayani kilombero nalishuhudia kwa macho yangu pasipo ambiwa na Lissu.

Jamani wananchi wanateswa wanalazimishwa kuchangia sh. 3000 kwa mwananchi nasema wanalazimishwa kwa sababu sioni uhiari WA mwananchi wanakimbizwa NA mgambo wananyangwa vitu vyao au walipe sh15000 alfu kumi kama faini ya kuwalipa Hawa mgambo.

Mimi mwenyewe nimekamatwa nimebishana nao zaidi ya saa nzima nawaonyesha kitambulisho lakini wapi nawmbia mm mgeni huku wapi jamani wananchi wanateswa wananyanyaswa tunarudi kwenye kodi ya kichwa! Serikali imeshindwa kukusanya kodi? Watu wanaishi polini mtoni kuwakimbia mgambo ebu tupeni majibu?

Nilikua nimshangaa Lissu akilalamika bungeni Ila ninayo yashuhudia huku ni mateso ya hali ya juu kwa wananchi!!!!!
 
Magwangala

Magwangala

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Messages
2,082
Points
2,000
Magwangala

Magwangala

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2011
2,082 2,000
Huu ni upuuzi,Lisu hataki upuuzi huu jimboni mwake,CDM waliweza kusomesha watoto sekondari Tarime,kwa nini halmashauri nyingine zishindwe?
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,495
Points
1,250
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,495 1,250
Ulikuwa huijui serikali yako!???
 
K

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Messages
903
Points
500
K

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2010
903 500
ndo tanzania, wananchi wachangie ujenzi wakati kodi ambazo zingefanya hiyo kazi zinahifadhiwa uswisi. hivi hujiulizi wazara inatengewa bajeti 100% lakini inapelekwa 30% . asilimia 70 inapotelea wapi? ili kuhakikisha mambo yanaenda ndipo wanabuni mikakati ya kuwachangisha fedha wananchu kwa ajili ya maendeleo. hamjui siku hizi hata chaki zinanunuliwa na wazazi?
 
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
4,837
Points
2,000
Ronal Reagan

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
4,837 2,000
Duh! sijui nikupe pole au hongera kwa yaliyokukuta.

Nchi hii iko ktk hali mbaya na inalia kukombolewa! Shime tuungane na kuiondoa CCM kuanzia sasa
 
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined
Mar 3, 2012
Messages
97
Points
125
Age
82
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined Mar 3, 2012
97 125
Siku zote nipoa mjini zaidi ya kuona Lisu akipiga kelele bungeni. NA c hapo tuu kila mwanafunzi anaenda NA dawati sasa sijui mwanafunzi anwaeza kukalia dawati hiiii michango sio kit cha kubeza insumbua wananchi inatesa mno NA wala hawajui wajibu wao. NipO kwenye panton la mto kilombero unakatiwa tikeni ukivuka unazirudisha wanazikusanya ten a wanazigawa ni utaratibu WA kawaida kabisa NA wananchi wanaona ni saw a t
 
S

slufay

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,385
Points
1,195
Age
43
S

slufay

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,385 1,195
We ni mswahili tu! Nenda kwa magamba ambao kwao uwongo ni jadi kama kwaA
 
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
5,116
Points
2,000
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
5,116 2,000
Mdau hapo juu ZE DONE mi nipo hapa v/60 mgambo wanasumbua kiukweli. Majuzi kati walinitokea wakaniweka kati,nikawauliza kwani mchango ni lazima? Wakanijibu eti ni lazima! Nikawaambia nisipotoa mtanishtaki kwa sheria ipi? Mgambo m1 akajibu bila haya sheria ipo na watanifikisha mahakamani. Nikamwambia waziri mkuu alisema bungeni michango ya sekondari c lazima wakati akijibu swali la mbuge wa bariadi mh John Cheyo aliyetaka kujua kama michango ya sekondari ni lazima...hata hivyo nilipa 3000/= kukwepa usumbufu.
 
T

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
2,471
Points
1,225
T

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
2,471 1,225
pesa zinatumika kuwalipa maaskari wa kumlisha shehe mponda na uamsho.
 
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,946
Points
2,000
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,946 2,000
pesa zinatumika kuwalipa maaskari wa kumlisha shehe mponda na uamsho.
Naamini wewe ni mkristo mwenzangu, tafadhali acha kuamusha hisia zisizohusiana na mada tunayojadili.
 
B

blueray

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
2,219
Points
0
B

blueray

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
2,219 0
Mfano huu unadhihirisha kwamba watanzania wakishapatwa na madhila yanayosababishwa na serikali ya CCM ndio wamamka!

Tunashukuru umeamka, endelea kuamsha watanzania wengine, tutafika!
 
Kikarara78

Kikarara78

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
1,280
Points
2,000
Age
40
Kikarara78

Kikarara78

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
1,280 2,000
Msiba uwe kwa Jirani, ukiwa kwako.....
Nikupe pole sana kwa Maswahiba yaliyokupata, ndio kawaida mpaka upatwe na tukio ndio Akili inafunguka.
Dawa hapo ni Elimu ya Uraia

Jamani si jingine Ila ni hill la kuchangia ujenzi WA shule za sekondari nipo wilayani kilombero nalishuhudia kwa macho yangu pasipo ambiwa na Lissu.

Jamani wananchi wanateswa wanalazimishwa kuchangia sh. 3000 kwa mwananchi nasema wanalazimishwa kwa sababu sioni uhiari WA mwananchi wanakimbizwa NA mgambo wananyangwa vitu vyao au walipe sh15000 alfu kumi kama faini ya kuwalipa Hawa mgambo.

Mimi mwenyewe nimekamatwa nimebishana nao zaidi ya saa nzima nawaonyesha kitambulisho lakini wapi nawmbia mm mgeni huku wapi jamani wananchi wanateswa wananyanyaswa tunarudi kwenye kodi ya kichwa! Serikali imeshindwa kukusanya kodi? Watu wanaishi polini mtoni kuwakimbia mgambo ebu tupeni majibu?

Nilikua nimshangaa Lissu akilalamika bungeni Ila ninayo yashuhudia huku ni mateso ya hali ya juu kwa wananchi!!!!!
 
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined
Mar 3, 2012
Messages
97
Points
125
Age
82
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined Mar 3, 2012
97 125
We ni mswahili tu! Nenda kwa magamba ambao kwao uwongo ni jadi kama kwaA
Du sulfay sizani kama we we unaweza ukawa ni ambassador WA chama hat a siku moja uongo upi tena tembelea ifakara au ulizia mkazi WA ifakara au hat a kama una ndugu wasiliana nae akupe report kamili ya hii michango. Kama ni gamba au sio sina chama Ila kwa hili anae tawala hafai hafai NA wala hahitajiki latika Tanzania hii. Changieni hoja kama hujui kinachoendelea kwa kimya c lazima uongee ndugu yangu. We nikuponda kila mtuu jirekebishe kaka.
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,700
Points
1,195
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,700 1,195
Hiyo ndio serikali inayoongozwa na Magamba,dawa ni kuindoa tu 2015.
 
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined
Mar 3, 2012
Messages
97
Points
125
Age
82
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined Mar 3, 2012
97 125
Mdau hapo juu ZE DONE mi nipo hapa v/60 mgambo wanasumbua kiukweli. Majuzi kati walinitokea wakaniweka kati,nikawauliza kwani mchango ni lazima? Wakanijibu eti ni lazima! Nikawaambia nisipotoa mtanishtaki kwa sheria ipi? Mgambo m1 akajibu bila haya sheria ipo na watanifikisha mahakamani. Nikamwambia waziri mkuu alisema bungeni michango ya sekondari c lazima wakati akijibu swali la mbuge wa bariadi mh John Cheyo aliyetaka kujua kama michango ya sekondari ni lazima...hata hivyo nilipa 3000/= kukwepa usumbufu.
Pole ndugu mm sikulipa nilisumbuana nao sana nikwaambia hampati kit hapa kodi kubwa sana nachangia. Huu ni upumbavu WA hali ya juu ambao watanzia unawaumiza
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,175
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,175 2,000
kidumu chama cha mabwepande..sasa usilipe hiyo pesa utajikuta huna meno na kucha, chezea ccm wewe..
 
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined
Mar 3, 2012
Messages
97
Points
125
Age
82
ZE DONE

ZE DONE

Member
Joined Mar 3, 2012
97 125
Mdau hapo juu ZE DONE mi nipo hapa v/60 mgambo wanasumbua kiukweli. Majuzi kati walinitokea wakaniweka kati,nikawauliza kwani mchango ni lazima? Wakanijibu eti ni lazima! Nikawaambia nisipotoa mtanishtaki kwa sheria ipi? Mgambo m1 akajibu bila haya sheria ipo na watanifikisha mahakamani. Nikamwambia waziri mkuu alisema bungeni michango ya sekondari c lazima wakati akijibu swali la mbuge wa bariadi mh John Cheyo aliyetaka kujua kama michango ya sekondari ni lazima...hata hivyo nilipa 3000/= kukwepa usumbufu.[ha/QUOTE]
Pole ndugu mm sikulipa nilisumbuana nao sana nikwaambia hampati kit hapa kodi kubwa sana nachangia. Huu ni upumbavu WA hali ya juu ambao wananchi wengi wanaumiza. NA pi a nasikia hat a hawatangazi ni kiasi gani wamekusanya NA zimejenga shule zipi" sin a uhakika NA hill! Hat a wangetoa michango hi I haikubaliki hata kidogo eti utembee NA risiti ukikamatwa huna weather uchangie upya au utasumbuliwa hapo mpaka ukome haina tofauti NA kodi za enzi ya ukoloni jamani.
 
Forum statistics

Threads 1,294,738
Members 498,025
Posts 31,186,504
Top