Katiba itafanikiwa kama itapunguza shughuli za serikali kwani ndiyo tatizo kubwa la maendeleo

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
3,333
2,000
Kama kwenye katiba wataweza kupunguza serikali kujihusisha na biashara ambazo ambazo zinatakiwa kuachiwa wananchi Tanzania itaendelea sana. Sababu kubwa ya Tanzania kuwa masikini ni kwa kutokuwa kifungu kwenye katiba ambacho kinasema vizuri serikali inatakiwa kufanya nini na haitakiwi kufanya nini.

Hii itazuia kila uongozi ukija unajaribu kufanya vitu ambavyo si vya lazima ikiwa ni pamoja na serikali kufanya biashara za ndege, serikali kufanya biashara za mashamba na ununuzi wa vyakula, serikali ku sign mikataba kwa wachimbaji wadogo wadogo kama kwenye Gemstones n.k. Serikali inatakiwa kushughulikia vitu vichache muhimu hii itasaidia matumizi ya kodi yaende kwenye shughuli muhimu tu kama mfumo wa elimu afya, mazingira, ulinzi, bank kuu, usalama basi. Vilevile itapunguza rushwa. angalia USA hapo chini nchi yenye watu milion 300 katiba yao inavyosema

This is for United States

The Constitution's articles, and the subsequent Amendments, specify the prerogatives of the Feds. They are listed in Article I, Sec. 8; Articles II-V; Amendments XIII-XVI, XIX-XX, XXIII-XXVI. These prerogatives belong to one of the following categories:
1) Defense, war prosecution, peace, foreign relations, foreign commerce, and interstate commerce;
2) The protection of citizens' constitutional rights (e.g the right to vote) and ensuring that slavery remains illegal;
3) Establishing federal courts inferior to the SCOTUS;
4) Copyright protection;
5) Coining money;
6) Establishing post offices and post roads;
7) Establishing a national set of universal weights and measures;
8 ) Taxation needed to raise revenue to perform these essential functions.
 
Top Bottom