Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikifanya juhudi za kuwaletea wananchi wake maendeleo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi kwa kutoa mabilioni ya fedha za miradi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vyombo vya habari mbalimbali vimetangaza kusudio la Prof. Lipumba kuonana na Rais Kikwete na kwamba ameongea naye kuhusu mvutano wa kidini nchini. My take: 1. Je ni kweli kuna mvutano wa kidini...
12 Reactions
210 Replies
15K Views
Salaam Kwenu wana JF! Angalia picha hii hapa chini: Ni bayana kuwa mapigano yasiyoisha limekuwa suala la kawaida ktk Somalia ... hata 'facial expression' ya huyu kijana mnyoaji inaonyesha kana...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
mbunge wa Ujerumani Ute Koczy Kwa habari zaidi tembelea web WD chini Shaka kwa usalama wa vyakula Arusha | Masuala ya Jamii | DW.DE | 09.11.2012 Kuna habari za kutia wasi wasi kwamba baadhi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakenya wanafanya interview ya kumpata nani anaweza kuwa Inspector General of Police (IGP) sasa hivi. Interview hiyo inajumuisha pia wananchi kupeleka maoni yao ili waweze kumpata mtu mwadilifu na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Professor Sospeter Muhongo They lied to Parliament. That's the conclusion of the Parliamentary Standing Committee on Ethics, Privileges and Powers against Energy and Minerals Minister Professor...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
CV ya Mbunge wa Mji kasoro bahari,je inakaidhi viwango vya Sayansi na technolojia ya karne ya 21? Jamaa ni Form 4 tena Failure wa Forst secondary those undefine years back! 2015 vipi hii...
0 Reactions
101 Replies
13K Views
Ile speech ya yule kijana wa uvccm Pemba nimeamua kuisoma na kuiweka katika mp3
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nmejaribu kujiuliza mambo mengi ya hii Nchi inayoitwa ya Amani, kuna mambo ambayo yanaumiza sana.......viongozi wetu na vyama vya upinzani wamekuwa busy sana kuhubiri siasa kuliko kukazania mambo...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Wakati wa vita ya Rwanda jeshi la RPF lillokuwa la watutsi lilimuweka Muhutu Alex Kanganyayalengwe ili kuwadanganyaa wanyarwanda kuwa hawana ubaguzi. Na walipopata madaraka wakamuweka Paschal...
1 Reactions
0 Replies
905 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodma mama Rehema Nchimbi amewaomba waendesha vymbo vya moto vya aina zote mjini Dodma kuwa wakarimu, wapole na wenye utu katika kipindi cha siku 3 za mkutano wa ccm mjini hapo...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kama tujuavyo kuwa chama tawala cha CCM kinatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa chama kuanzia tarehe 10-13 november , 2012. Kutokana na kujua kuwa siasa si uhasama vyama vyote vya siasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanasheria mkuu wa serikali inaonekana hasomi kabisa kanuni za bunge, na hivyo kuipa fedheha serikali haswa kunapokuwa na hoja nyeti zinazogusa mustakabali wa Taifa hili, na badala ya kuja na...
6 Reactions
62 Replies
9K Views
Hakuna siri kuwa kamati nyingi zinazoundwa na Spika kwa lengo la kutafuta ukweli wa tukio lolote, aidha ubadhirifu au tukio lolote la kifisadi hiuishia kwa watuhumiwa kusafishwa na KARIPIO au...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nagu amlipua Sumaye WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza akisema hakupewa fedha na Mbunge wa Monduli...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
ndugu wana jamvi imekuwa ni kawaida kwa serikali, bunge na mahakama kutoa maamuzi yenye kuudumisha ufisadi mifano tunayo mingi kwa uchache sakata la richmond(bunge) sakata la rada(serikali)...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Tundu Lissu alipozungumza na kusema another silly session watu walibeza na kuona amelidharau bunge ilihali naye ni mmojawapo wa Wabunge,lakini alikuwa na mantiki na upeo mkubwa kutokana na udhaifu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna taarifa kwamba hali ndani ya Utumishi wa Umma imekuwa ya kutia shaka sana. Ni kwamba imefikia hatua ambayo serikali inashindwa kuwalipa hata mishahara hiyo midogo watumishi wake. Tumeona hapa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Friday, November 9, 2012 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amemtaka Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, kuacha kumshinikiza kutoa kauli bungeni zinazoweza kushughulikiwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nafasi ya Makamu wa Rais bado haijaniingia vizuri kichwani. Angalau alipoishika marehemu Omar Juma niliona hata kwenye mazingira alijitahidi sana, mikutano ya hadhara nk. Sasa Dr. Bilal naona...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom