uamsho umeanza kufanya kazi rasmi adhuhuri leo


M

Mandi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
385
Points
0
M

Mandi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
385 0
kampeni kubwa juu kundi kubwa hilo la kiislamu ni kutaka zanzibar huru na sio vengine.nikundi lilobahatika kua na mvuta mkubwa visiwani zanzibar.uamsho ni jumuiya ya kiislamu ambayo ipo miaka mingi iliyopita.kundi hilo limepata baraka za mwenyekiti wa tume ya kukushanya maoni juu ya matengenezo yakatiba nchini pale aliposema mashirika ya serikali ,ya watu binafsi ,taasisi za jamii na hata jumuiya na taasisi za dini mbali mbali zitachukuliwa maoni yake na pia asasi hizo zichukua jukumu pia juuya kuelimisha jamii katika kutoa maoni juu uundwaji wa katiba hiyo.kutokana na maelezo hayo uamsho wameibuka rasmi leo adhuhur katika msikiti wa mbuyuni mjini magharibi zanzibar juu yakile kinachoibua hisia mbali mbali katika suala la muungano.lengo ni zanzibar huru
 
kiLimIlire

kiLimIlire

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Messages
106
Points
250
kiLimIlire

kiLimIlire

Senior Member
Joined Apr 8, 2012
106 250
kwani makanisa ndo yaliwanyima uhuru siku zote??? waboreshe namna ya kudai zenji yao coz hata sisi wabara hatuwahitaji kivile...
 

Forum statistics

Threads 1,296,572
Members 498,672
Posts 31,252,612
Top