Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kujibu swali hilo na mengine kadhaa fuata link hii Hali ya siasa na demokrasia, kudorora kwa uchumi na ongezeko la umaskini nchini Tanzania Survey
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe amezomewa na wananchi wa mji mdogo wa Gallapo wilayani Babati wakati wa mkutano wa hadhara baada ya waziri huyo kuktaa kuulizwa maswali na wananchi kuhusu...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kinana Atua Rukwa Kinana akizungumza na wana-CCM leo mjini Sumbawanga,mkoani Rukwa Kinana, Nape, Khatib wakisalimia wananchi Uwanja wa Ndege wa Rukwa
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana JF; Taarifa za kina nilizozipata zimewataja rais wa Kisomali waishio Arusha (SILVER PARM, DUKA LA PEMBEJEO ZA KILIMO, DRY CLEANER, NA INTERNET CAFE) wanatajwa kuwa ni ndugu wa karibu wa...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
NA CYNTHIA MWILOLEZI Mikataba yote iliyoingiwa kati ya mwekezaji wa Kampuni ya Hotels and Lodges (T) Ltd (Tahi) na iliyokuwa Tume ya Rais ya Kubinafsisha Mashirika ya Umma (PSRC) kwenye hoteli...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa bot ambao walikuwa wanshatakiwa kwa kesi zile epa kutoka kitengo cha madeni ya nje, wamapatikana na hatia katika hukumu ilyosomwa jioni na kuhukumiwa miaka 5 jela source...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Mh Zitto leo amesema mengi ya msingi katika live interview lakini ila moja ya mambo ambayo yamenigusa ni msimamo wake juu ya udini na ushauri wake kwa viongozi wa TZ kwa ujumla. Hili ndilo swali...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
Edward Lowasa ALIYEKUWA Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Nne, Edward Lowassa yupo nchini Ujerumani kwa matibabu na uchunguzi wa kiafya. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli jana...
0 Reactions
104 Replies
11K Views
KINANA,NAPE,KHATIB WATUA MTWARA..kazi ya kusimamia ilani ya uchaguzi yapamba moto.
1 Reactions
144 Replies
14K Views
President Jakaya Kikwete Every year, 50 Zanzibar bachelor's and master's degree students, will receive full scholarships from the government of Oman, the Monarchy has pledged in a bid to end the...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ijumaa, Agosti 17, 2012 07:21 Na Mwandishi Wetu, Tarime SIKU chache tu baada ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa (BAVICHA), John Heche kutangaza...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Rasilimali zetu zinazosimamiwa na serikali ya CCM hasa wanyama wetu, mara nyingi wanamalizwa na maharamia wa Kisomalia. Tembo wengi Serengeti wameuwawa na maharamia wa kisomali. Faru nao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WAMKUU naona KINANA na wenzake wanazunguka na kukoromea watumishi wa umma na kutoa ahadi kemkem kwamba "...wanaiagiza serikali itekeleze, watawachukulia hatua watumishi..." WAKIDAI CCM KUISIMAMIA...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Simone Gbagbo mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo amefunguliwa mashtaka rasmi na mahakama ya kimataifa (ICC). Ingawa wengi wameikosoa ICC kama chombo cha mabepari kunyanyasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Suala hili limekuwa likiniumiza kichwa kwa kujiuliza kwanini Mwl JK Nyerere alikuwa havai nguo za rangi ya kijani kwa kuwa yeye ndiye mwasisi wa chama hicho kwani nimejiuliza alikuwa anawaza nini...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF habari zilizonifikia punde sana zinasema mkutano wa CCM huko Sumbawanga umedoda vibaya. Kwanza walilazimika kuchelewa kuanza kutokana na watu kuwa wachache sana uwanjani. Hiyo ni pamoja na...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Abdurahaman Kinana anazungumza katika wilaya ya Sumbawanga Mjini ambako amezungumzia juu ya suala la kero za Usafiri na Barabara, ambapo amesema tayari...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Bila kumwaga damu wala mizengwe ni muda sasa CCM ife ili kulinda maslahi ya nchi. Nchi ina maslahi ya kudumu na watanzania wanategemea makubwa kwa nchi yao, vyama vitakuja na kupita, vyama vingi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Najua mnataka niseme ntampigia: MEMBE SLAA ZITTO LOWASSA MIGIRO MBOWE WASSIRA NK Hapana. Kura ntampatia mgombea yeyote na wa chama chochote atakaye ahidi kunihakikishia yafuatayo: (1)...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Ndugu Watanzania wenzangu, kama mnavyojua mwaka 2015 tutapata Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu (kwa mujibu wa taratibu zetu) ndiye atakayeiongoza nchi yetu 2015-2025 hivyo...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…