MKUTANO wa CCM Sumbawanga, wamdodea Kinana na Nape

Chief Isike

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
445
462
Wana JF habari zilizonifikia punde sana zinasema mkutano wa CCM huko Sumbawanga umedoda vibaya. Kwanza walilazimika kuchelewa kuanza kutokana na watu kuwa wachache sana uwanjani. Hiyo ni pamoja na kuukwepa uwanja mkubwa wa mikutano uitwao Kizwite, wakakimbilia.

Wakaona soo kumpeleka mtu mzima Luteni Kanali Abdularhaman Kinana kwa watu kiduchu. Wakatumia ule utamaduni wao waliouzoea...kubeba watu kutoka maeneo mbalimbali. Bado haikusaidia.

Wakawakodi wa madereva taksi pale mjini wasaidie kuongeza uzito wa msafara wa Luteni Kanali Kinana, walipofika eneo ambalo msafara ungeanzia, jamaa wa taksi 'wakalianzisha'. Ni baada ya kupewa pesa kiduchu tofauti na walivyokuwa wameahidiwa katika mkakati mzima wa kukodiwa na kubeba bendera na manguo ya kijani ili kufake mapenzi.

Ukafika wakati wa mkutano, ambao kwa kweli ulianza kwa kuchelewa sana na umewahi kuisha. Umeanza mnamo saa 10.30 ukamalizika saa 11.45. That is unsual kwa mkutano wa siasa tena unaohutubiwa na kiongozi wa kitaifa wa CCM wenye itifaki nyiiiiingi na mbwembwe kibao.

Taarifa zinasema tatizo lilianza pale vuvuzela alipoanza kumsifia Luteni Kanali kwa kumfafananisha na makatibu wakuu wengine, anasema amewahi kuwa Spika wa Bunge la EALA, oooh mara hivi oooh mara vile, ohooooo, wananchi wakachoka na blaah blaah dot.com, nao wakaanza...kuanzia hapo kukawa hakuna utulivu, vuvuzela akalazimika kusema "wanaozomea wana mimba...or mnazomea kama mna mimba..." sijui kuna uhusiano wa kukataliwa na wananchi na mama zetu katika ile hatua tukufu. Au ndiyo dharau tu.

Akapanda Luteni Kanali, oooh hali ikaendelea kutokuwa nzuri sana. Mkutano ukalazimika kumalizika mapema. Kwa aibu. Kuna mdau atanitumia picha za mnayo, mwingine za video, soon. Nikizibamba tu, nadumbukiza hapa tufaudu wote, ukweli au kinyume chake.
 
Wana JF habari zilizonifikia punde sana zinasema mkutano wa CCM huko Sumbawanga umedoda vibaya. Kwanza walilazimika kuchelewa kuanza kutokana na watu kuwa wachache sana uwanjani. Wakaona soo kumpeleka mtu mzima Luteni Kanali Abdularhaman Kinana kwa watu kiduchu. Wakatumia ule utamaduni wao waliouzoea...kubeba watu kutoka maeneo mbalimbali. Bado haikusaidia.

Wakawakodi wa madereva taksi pale mjini wasaidie kuongeza uzito wa msafara wa Luteni Kanali Kinana, walipofika eneo ambalo msafara ungeanzia, jamaa wa taksi 'wakalianzisha'. Ni baada ya kupewa pesa kiduchu tofauti na walivyokuwa wameahidiwa katika mkakati mzima wa kukodiwa na kubeba bendera na manguo ya kijani ili kufake mapenzi.

Ukafika wakati wa mkutano, ambao kwa kweli ulianza kwa kuchelewa sana na umewahi kuisha. Umeanza mnamo saa 10.30 ukamalizika saa 11.45. That is unsual kwa mkutano wa siasa tena unaohutubiwa na kiongozi wa kitaifa wa CCM wenye itifaki nyiiiiingi na mbwembwe kibao.

Taarifa zinasema tatizo lilianza pale vuvuzela alipoanza kumsifia Luteni Kanali kwa kumfafananisha na makatibu wakuu wengine, anasema amewahi kuwa Spika wa Bunge la EALA, oooh mara hivi oooh mara vile, ohooooo, wananchi wakachoka na blaah blaah dot.com, nao wakaanza...kuanzia hapo kukawa hakuna utulivu, vuvuzela akalazimika kusema "wanaozomea wana mimba...or mnazomea kama mna mimba..." sijui kuna uhusiano wa kukataliwa na wananchi na mama zetu katika ile hatua tukufu. Au ndiyo dharau tu.

Akapanda Luteni Kanali, oooh hali ikaendelea kutokuwa nzuri sana. Mkutano ukalazimika kumalizika mapema. Kwa aibu.

Hata mimi kuna Jamaa yangu yupo Sumbawanga anafanya biashara pale Sokoni amenieleza hivyo hivyo.Tafadhali tunaomba wanaJF walioko huko watuthibitishie hizi habari
 
Kwa kawaida siku zote kifo cha mende miguu juuuuu!

Kwa kheri chama cha mafisadi!
 
hata mimi kuna jamaa yangu yupo sumbawanga anafanya biashara pale sokoni amenieleza hivyo hivyo.tafadhali tunaomba wanajf walioko huko watuthibitishie hizi habari

jamani izi ni dalili njema sana watanzania wameamka, hatuna uswayiba na jangili kinana, natmai uhu ni ujumbe safi kuwa watz letu moja, we hate mafisadi, aksante muhabarishaji
 
Wana JF habari zilizonifikia punde sana zinasema mkutano wa CCM huko Sumbawanga umedoda vibaya. Kwanza walilazimika kuchelewa kuanza kutokana na watu kuwa wachache sana uwanjani. Hiyo ni pamoja na kuukwepa uwanja mkubwa wa mikutano uitwao Kizwite, wakakimbilia.

Wakaona soo kumpeleka mtu mzima Luteni Kanali Abdularhaman Kinana kwa watu kiduchu. Wakatumia ule utamaduni wao waliouzoea...kubeba watu kutoka maeneo mbalimbali. Bado haikusaidia.

Wakawakodi wa madereva taksi pale mjini wasaidie kuongeza uzito wa msafara wa Luteni Kanali Kinana, walipofika eneo ambalo msafara ungeanzia, jamaa wa taksi 'wakalianzisha'. Ni baada ya kupewa pesa kiduchu tofauti na walivyokuwa wameahidiwa katika mkakati mzima wa kukodiwa na kubeba bendera na manguo ya kijani ili kufake mapenzi.

Ukafika wakati wa mkutano, ambao kwa kweli ulianza kwa kuchelewa sana na umewahi kuisha. Umeanza mnamo saa 10.30 ukamalizika saa 11.45. That is unsual kwa mkutano wa siasa tena unaohutubiwa na kiongozi wa kitaifa wa CCM wenye itifaki nyiiiiingi na mbwembwe kibao.

Taarifa zinasema tatizo lilianza pale vuvuzela alipoanza kumsifia Luteni Kanali kwa kumfafananisha na makatibu wakuu wengine, anasema amewahi kuwa Spika wa Bunge la EALA, oooh mara hivi oooh mara vile, ohooooo, wananchi wakachoka na blaah blaah dot.com, nao wakaanza...kuanzia hapo kukawa hakuna utulivu, vuvuzela akalazimika kusema "wanaozomea wana mimba...or mnazomea kama mna mimba..." sijui kuna uhusiano wa kukataliwa na wananchi na mama zetu katika ile hatua tukufu. Au ndiyo dharau tu.

Akapanda Luteni Kanali, oooh hali ikaendelea kutokuwa nzuri sana. Mkutano ukalazimika kumalizika mapema. Kwa aibu. Kuna mdau atanitumia picha za mnayo, mwingine za video, soon. Nikizibamba tu, nadumbukiza hapa tufaudu wote, ukweli au kinyume chake.

1_ Kinana, Nape, Khatib wakisalimia wananchi Uwanja wa Ndege wa Rukwa.jpg

picha akilakiwa na maelfu
 
nahodha analizamisha jahazi abilia wanaojiita wapambanaji wa ufisadi ndani ya MV ufisadi mko wapi!!! au ndo kichwa cha treni kikiacha njia mabehewa hupandana!!!
:lock1:

:lock1:

Mi namshangaa huyu jamaa eti anasema maelfu wakati watu wenyewe wote hao ni viongozi ambao hawakwenda kuwalaki bali kutimiza wajibu wao tena kwa shingo upande au sio
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom