WATUMISHI WA UMMA TUSIBABAISHWE, KINANA na NAPE na wenzao CCM hawana mamlaka kutukoromea sisi

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
223
195
WAMKUU naona KINANA na wenzake wanazunguka na kukoromea watumishi wa umma na kutoa ahadi kemkem kwamba "...wanaiagiza serikali itekeleze, watawachukulia hatua watumishi..." WAKIDAI CCM KUISIMAMIA SERIKALI YAKE...

Hapa naona kuna kutokuelewa maana ya "... Chama tawala CCM kuisimamia serikali yake...". Katibu mkuu KINANA hana mamlaka ya kuiagiza serikali, kwa kisingizio cha chama kusimamia serikali. CCM kuisimaia serikali siyo kupitia mtu mmoja mmoja, bali vikao:mkutano mkuu, NEC & CC, hivi vina mamlaka ya kuisimamia serikali siyo KINANA. Tunapaswa kuelewa hili. Jambo hili ni sawa na BUNGE kusimamia serikali: MBUNGE mmoja mmoja hana mamlaka ya kutoa maagizo kwa serikali, bali MBUNGE (SOMA IBARA 63 ya KATIBA TZ 1977).

NAKUMBUKA alipoingia Sec Gen MKAMA naye alizunguka nchi nzima na kutoa ahadi "mpya kabisa" na kukoromea serikali, aliitwa na kuambiwa anakosea na akapotelea kusikojulikana. MOJA ya ahadi za MKAMA ni kujenga hospitali ya RUFAA eneo la Kwangwa MUSOMA , yenye pia na chuo kikuu cha afya kama MUHIMBILI, MJINI MUSOMA, na akasema isipojengwa hadi 2015 basi CCM isichaguliwe ... TUNASUBILIA TUONE.

AHADI NYINGIZE za EX-SEC GEN MKAMA, wadau mtanisaidia...

KINANA naye anapita mlemle, haya bwana: naona hawajajua kuwa CHAMA KUSHIKA HATAMU ILISHAKWISHA ZAMAAAAAAAAAAAAANI ... wanawadanganya wananchi
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,862
1,250
Mpeni mwezi mmoja mtasikia new twists juu ya ziara na maagizo yao hope Nape kesha jifunza kuropoka sasa anakula tu kimya kimya na kucheza kiduku .
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
225
WAMKUU naona KINANA na wenzake wanazunguka na kukoromea watumishi wa umma na kutoa ahadi kemu2 kwamba "...wanaiagiza serikali itekeleze, watawachukulia hatua watumishi..." WAKIDAI CCM KUISIMAMIA SERIKALI YAKE...

Hapa naona kuna kutokuelewa maana ya "... Chama tawala CCM kuisimamia serikali yake...". Katibu mkuu KINANA hana mamlaka ya kuiagiza serikali, kwa kisingizio cha chama kusimamia serikali. CCM kuisimaia serikali siyo kupitia mtu mmoja mmoja, bali vikao:mkutano mkuu, NEC & CC, hivi vina mamlaka ya kuisimamia serikali siyo KINANA. Tunapaswa kuelewa hili. Jambo hili ni sawa na BUNGE kusimamia serikali: MBUNGE mmoja mmoja hana mamlaka ya kutoa maagizo kwa serikali, bali MBUNGE (SOMA IBARA 63 ya KATIBA TZ 1977).

NAKUMBUKA alipoingia Sec Gen MKAMA naye alizunguka nchi nzima na kutoa ahadi "mpya kabisa" na kukoromea serikali, aliitwa na kuambiwa anakosea na akapotelea kusikojulikana. MOJA ya ahadi za MKAMA ni kujenga hospitali ya RUFAA eneo la Kwangwa MUSOMA , yenye pia na chuo kikuu cha afya kama MUHIMBILI, MJINI MUSOMA, na akasema isipojengwa hadi 2015 basi CCM isichaguliwe ... TUNASUBILIA TUONE.

AHADI NYINGIZE za EX-SEC GEN MKAMA, wadau mtanisaidia...

KINANA naye anapita mle2, haya bwana: naona hawajajua kuwa CHAMA KUSHIKA HATAMU ILISHAKWISHA ZAMAAAAAAAAAAAAANI ... wanawadanganya wananchi
[/QUOTE
duuuuuuuuuh poleni aise
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
3,910
2,000

Kinana the poacher at work!! Tembo na vifaru kwisney!! Amepewa rungu!! Na huyo dogo NEpi mwenye verbal diarrhoea atakufa kwa ukosefu wa maji mwilini anaharishia mdomo !!
 
PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
3,977
2,000
Kinana the poacher at work!! Tembo na vifaru kwisney!! Amepewa rungu!! Na huyo dogo NEpi mwenye verbal diarrhoea atakufa kwa ukosefu wa maji mwilini anaharishia mdomo !!
Huyu poucher asituharibie siku bana, kawachoka ndovu sasa anataka kuhamia kwa raia
 
Communist

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
5,391
2,000
Tangu lini muuza meno ya Tembo anaweza kukemea. hii ni comedy tu. Wazomewe hao.
 
PYU

JF-Expert Member
Oct 3, 2012
201
195
Wana haki kufanya hivyo kwani ni maazimio ya nec na cc,so kila kitu kinachofanywa na magamba ni kibaya. wao ni dora na huo ndio ukweli,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom