Mwl. JK Nyerere kuvaa nguo za rangi ya kijani zinachowakilisha chama alichokiasisi


Michael Bosco

Michael Bosco

Member
Joined
Jan 10, 2010
Messages
95
Points
95
Michael Bosco

Michael Bosco

Member
Joined Jan 10, 2010
95 95
Suala hili limekuwa likiniumiza kichwa kwa kujiuliza kwanini Mwl JK Nyerere alikuwa havai nguo za rangi ya kijani kwa kuwa yeye ndiye mwasisi wa chama hicho kwani nimejiuliza alikuwa anawaza nini au alikuwa anatabiri tofauti na waasisi wenzake walikuwa wanavalia sare za chama. Ebu nisaidieni kama kuna mtu kawahi kuona swala kama hilo au kawahi kujiuliza ni kwanini. Nawasilisha hoja waheshimiwa wanajamii forum.
 
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
3,974
Points
1,250
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
3,974 1,250
Nadhani kuna thread kama hii iliwahi kuwepo hapa
 
Mchochezi

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
7,653
Points
2,000
Mchochezi

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2012
7,653 2,000
ccm siyo baba yangu wala mama yangu-j.k.Nyerere
 
kinja

kinja

Senior Member
Joined
Oct 10, 2010
Messages
199
Points
195
kinja

kinja

Senior Member
Joined Oct 10, 2010
199 195
Nguo sio ishu kwani suala la mavazi limekuwa zaidi siku hizi. Unakumbuka lini chadema walianza kuvaa kombati, hata Bob hakuvaa kombati aka gwanda
 
M

Makingila

Member
Joined
Mar 16, 2012
Messages
21
Points
0
M

Makingila

Member
Joined Mar 16, 2012
21 0
Mimi nadhani Mwl J K Nyerere hakuwa muumini sana wa mavazi, eti uhalisia wa mtu unajikita katika kuvaa kwake, ndo maana hakuona umaana hasa wa kuvaa hiyo rangi ya chama. Falsafa ya chui kuvaa ngozi ya kondoo ili hali ndani ni chui nadhani ni moja ya vitu ambavyo Mwl hakuvitilia umuhimu.

Matendo ya mtu katika kuishi na jamii yake, nadhani ni muhimu sana. wangapi tumeona wanahubiri abc, lakini matendo yao ni tofauti na kile wakihubiricho. Kuna maana gani kuvaa (mwonekano wa nje) hizo rangi za vyama,ili matendo hayalingani ni uhalisia wa dhana ya nguo/rangi hizo???/!!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,285,692
Members 494,726
Posts 30,870,375
Top