CHAMA KIFE NCHI IDUMU-Ushauri kwa KIKWETE

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,443
2,000
Bila kumwaga damu wala mizengwe ni muda sasa CCM ife ili kulinda maslahi ya nchi. Nchi ina maslahi ya kudumu na watanzania wanategemea makubwa kwa nchi yao, vyama vitakuja na kupita, vyama vingi vimepita na nchi ambazo vyama vimepita nyingi ziko mbele ya TZ kiuchumi na maendeleo. Ni muda mwafaka sasa kwa rais mzalendo mwenye upeo kama anao kukubali hali ilivyo duniani.

Kukubali huko ni kuacha kabisa CCM ifeeeeeeeeeeee, hoja ni moja tu kimeshindwa kuleta maendeleo, genge ni kubwa tena limejaa wahuni na wezi. Rais wangu acha life tukukumbuke japo kwa hilo.

Karibu CHADEMA bara na CUF Visiwani.
 

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,306
1,250
Oyaa machalii acheni wenge mmeshiba kwa mama mwenda mkakojoe mlale sasa
 

pin kubwa

Member
Nov 18, 2012
60
95
sioni sababu ya kutetea chama ambacho muda wote kinafikiria kujiimalisha chenyewe bila kufikiria namna gani kinapanga kuwakomboa wananchi tena kwa majigambo ya viongozi wajuu kabisa , kwa kukashifu vama ambavyo vinaonesha nia a dhati kusaidia wananchi - CDM VIVA FOREVER:bange:
 

afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
1,250
Huyu unaemuomba akuelewe angekuwa na uzalendo wa kweli angekubali kuwa hata chama chake kimemkataa kumpa uenyekiti akaresign kwenye lile vuguvugu la uchaguzi wao. Kitendo cha kung'ang'ania ni wazi kuwa uzalendo huo kwake unagauge Zero!
 
Top Bottom