Katika maisha yote kutoka karne nyingi busara ndio imekuwa kiongozi na mlinzi wa vizazi vingi.
Mataifa mengi yalijengwa, kukuzwa, kulindwa na kuongozwa na busara. Na pale busara inapotoweka...
Hivi karibuni nilimsikia spika Anne Makinda akiwawataka wabunge waorodheshe mali zao katika tume ya maadili lakini wanaonekana kuwa wazito kufanya hivyo. Tunasema wafanye hivyo tuwaone kama wasafi...
Wanajanvi Mwenyekiti wa CCM akiwa Dodoma aliwaagiza Viongozi wote waende Mikoani na wazunguke kila mahali kuwaeleza Watanzania mambo mazuri yaliyo fanywa na Serikali,
Hapa ni kwamba hayo...
mazungumzo kuhusu mgogoro wa ziwa nyasa yanaanza hupa tarehe 15-17 November nchini.
Agenda kuu ni
1. RAMANI MPYA
2. Kunyanyaswa kwa wavuvi wa Malawi
===============
Lake Malawi Dispute Talks...
Wanabodi,
Katika mkutano ulimalizika majuzi hapa mjini Dodoma - Kizota serikali ya CCM imewataka wanaCCM kutembea kifua mbele na kuepuka tambo za wapinzani kuwa hawajafanya kitu!!!!! Kauli hiyo...
Miaka michache iliyopita iliibuka kashfa ndani ya chama tawala, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo kwa kiasi kikubwa ilikitikisa na kukiyumbisha. Kashfa hiyo ilitokana na mkataba ambao ulitiwa...
Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini ameiponda Sekretariati mpya ya CCM akisema safu hiyo ya uongozi haina jipya akifafanua kuwa, tatizo kubwa la chama hicho ni...
Katika Mkutano mkuu wa CCM wa 8 uliomalizika hivi karibuni mjini Dodoma, moja wapo ya jambo jema ambalo CCM kwa kweli wameonyesha njia kwa vyama vingine ni kuweka miradi kwa ajili chama. Mie kama...
Wana JF nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! they say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha CCM, na kama nikiwa mzee na...
13rd memorial lecture at SOKOINE UNIVERSITY,guest of honor VICE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA HON:DR BILALI
LENGO KUMKUMBUKA NA KUMUENZI KWA VITENDO ALIEWAHI KUA WAZIRI MKU WA...
Napata tabu sana kuelewa jambo hili...mara nyingi nasikia siasa za vurugu sio utamaduni wa watanzania....CHADEMA wasituletee siasa za vurugu...naomba wanabodi unijuze ni zipi hasa siasa za vurugu...
- Kamati Kuu ya CCM ilinipitisha kugombea NEC Viti 10 Bara, uchaguzi ulifanyika juzi Kizota Dodoma kura zangu hazikutosha, na nimeridhika sana na matokeo: Uchaguzi ulifanyika kihalali na haki na...
ASEMA CCM YA SASA HAIWATISHI
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, kuwataka makada wa chama hicho kujibu mapigo ya wapinzani, akidai wanafanya kazi ya kueneza uongo...
habari za leo..
Ndugu zangu,kama vile navopenda kuwaita wakwasi wa fikra,,
jana yapata mida ya usiku wa saa tano na ushee,nilikua nyumbani kwangu nafuatilia mjadala fulani tbc1 na miongoni mwa...
Mwenye kupenda siku zote chongo huliona kama kengeza na kimtokacho mtu chake kamwe hakimtapishi.Misemo hii imekuwa ikitumika sana na ilitumiwa na wahenga wetu kuonyesha busara ya jambo fulani na...
HAKUNA UBISHI kuwa CHADEMA kwa miaka sasa imekuwa ikiipeleka puta CCM kwa hoja za moto. CCM iko ulimi nje kwa mbio za kuikamata CHADEMA. Ili kupambana na CHADEMA, CCM wamekuja na njia ya " KUWEKA...
Hey guys lets share this, mi huwa inanipa tabu sana hii kitu. Vyama tunavyo vingi sana na vipo vingine viko strong sana lakini chaguzi zote kinaongoza chama kilekile, napata wakati mgumu kuielewa...
CCM ndicho chama cha siasa ambacho kinaenzi wala rushwa, mafisadi, watuhumiwa wa uhalifu na wale wote wenye fedha haramu kukiongoza na kukisaidia kuendelea kuwepo madarakani.
Tumeshuhudia chama...
Sasa niwaeleze bayana kwamba, dunia nzima, ule wakati wa kutumia vibaya vyombo ya dola umepitwa na wakati. Nitahadhirishe kwamba vita inapotokea kwa sababu ya kuchezea vyombo nyeti vya dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.