Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJF, Nime attach kipande cha mwisho cha hukumu ilivyokuwa. Kuna tetezi za kurudiwa kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga mwezi ujao wa 12 mwaka huu. Kwa mujibu wa sheria miezi mitatu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kesho ni zamu ya Wilaya ya Hanang' Mkoani Manyara, baada ya kuifilisi CCM wanachama Babati, Noma inahamia Hanang kesho Timu ya makamanda wa A town wakiongozwa na Jembe Lema, Noel Olevaroya...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wana JF Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje. Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK. Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga...
18 Reactions
135 Replies
11K Views
1. Dr John Pombe Magufuli 2. Stevene Wassira 3. 4. 5. Kingunge Ngombale Mwiruu 6 7 8 9 10
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi. Ukianza kwa kuangalia matokeo ya udiwani jinsi walivyopata ushindi inakatisha tamaa kwa Chadema kama chama cha siasa, pamoja na mikutano mingi ya M4C, na kupambwa sana na TV na Radio...
6 Reactions
174 Replies
10K Views
Nimekuwa nikijaribu kufuatili mwenendo wa udhibiti wa sekta ya mawasiliano nchini. Tulianza na mfumo wa usajili wa namba za simu lengo likiwa ni kuimarisha usalama na kudhibiti ugaidi. Sina hakika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninauliza kutokana na uteuzi huu wa Wanasiasa wakongwe kushika nyadhifa za juu katika hiki chama kikuu, nini mtizamo wako wewe kwa jicho la tatu?? Mangula ni mtu aliyekuwa adui namaba moja wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete jana alikiri mbele ya mkutano mkuu wa CCM kuwa mambo yote yaliyofanyika ni ushauri wa Benjamini Mkapa. Kikwete aliyasema hayo wakati akiwashukuru wanachama walio mpigia kura...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Huwa nazishangaa sana kauli za JK. mfano: -aliwahi kusema yeye anapoangalia CNN nakuona waziri anaongea na wanahabari live kutoa ufafanuzi juu ya jambo fulani lililotokea hutamani pia mawaziri...
12 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenyekitiwa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewashambuliawanachama wa chama hicho waliokuwa na ndoto za kuona mkutano mkuu waoukimalizika kwa mpasuko, akisema kuwa...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavery Lwaitama, alisema kuwa hakuna safu mpya ndani ya CCM kwani Kinana ni yule yule aliyekuwa akisimamia chaguzi zote zilizowaleta...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwa mtazamo wangu wa kuona na kusikiliza! Nimeona kabisa ya kwamba chama cha mapinduzi imemtema huyu member wao muhimu sana ndani ya chama cha chao cha mafisadi! Namkaribisha huyu Ndg EL ndani...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
THURSDAY, NOVEMBER 15, 2012 MMOJA AUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA KUFUATIA VURUGU ZA WAMACHINGA NA ASKARI WA JIJI MWANZA. HALI TETE, MADUKA YAFUNGWA HADI SASA MOTO: MPASUKO MWANZA...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Tanzania inaongoza barani Afrika kwa kupokea misaada ikiwamo mikopo mingi kutoka kwa wafadhili wa nje na taasisi za fedha za kimataifa kwa lengo la kuleta maendeleo bila kusahau kuwakwamua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa kumebalance Tanzania,miaka zaidi ya saba iliyopita CHADEMA chini ya mwenyekiti wake kamanda wa ANGA FAM ilienezwa slogan ya kutafuta ushindi na ujasiri wa kulinda kura usiku kucha mwanzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana Bunge nchini Somalia limeidhinisha baraza jipya la mawaziri kumi waliloteuliwa na waziri mkuu Abdi Farah Shirdon. Wanawake wawili ni miongoni mwa walioteuliwa.Kuidhinishwa kwa baraza hilo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wale mliotaka kujua kama Lowassa akiwa Rais atakuja kukemea rushwa, Mzee huyu amewasikieni, hapa ni maelezo yake kuhusu Rushwa kwenye chaguzi za CCM kama alivyonukuliwa leo Jumanne na Gazeti...
1 Reactions
168 Replies
15K Views
Kwa mara nyingine tena, mheshimiwa Rais wetu ambaye anaweza kuingia kwenye vitabu vya jines kwa rekodi yake ya kushindwa kuwachukulia hatua wahalifu ambao anadai kuwajua wakati anayo mamlaka ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nipo tayari kwa mabadiliko. Tayari kuondoa dhuluma,dhiki,ukandamizwaji wa haki,uibaji wa kura,ufisadi,uuaji wa polisi,matusi na kejeli kwa watanzania. Hapa CCM uwepo wangu unanisuta.Sasa najuta...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, kuwataka makada wa chama hicho kujibu mapigo ya wapinzani,akidai wanafanya kazi ya kueneza uongo na kupotosha wananchi, CHADEMA...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom