Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kumbe chama kimemwambia anatumia pesa nyingi bila mafanikio wakati wanachama wao wanazidi kuhama. Na mukama kasema amenenepa sana kwa muda mfupi inaonekana haumizwi na wanachama kuhamia CHADEMA...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
  • Closed
Kundi la Sitta na Mwakyembe nilidhani lingegombea NEC lakini wapo kimya. Hili kundi naona kama limekufa na sidhani kama wana nia ya kugombea urais maana hawatakuwa na ushawishi wowote kwenye...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mwandishi wa Mwananchi, Hanang’ | Novemba 14, 2012 MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amependekeza kuvunjwa kwa Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), kwani badala yake...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama kiongozi na rais wa nchi chama chake kimeingia katika mpasuko mpya kabisa. Mpasuko ambao kinyume na chereko chereko za Mkutano mkuu utathibitika siku si nyingi. Kama Mkutano Mkuu wa CCM wa...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Kama kuna msemo sikio la kufa basi ni kampuni ya bico iliyo chini ya chuo kikuu cha dar-es-salaam. Kampuni hii kupitia mtaalamu wake dr chungu ndiyo iliyosimamia mradi wa mlimani city na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutokana na vyanzo vyangu vilivyopo Mahakama kuu ya Tanzania Leo Nape amefunguliwa kesi ya madai na imepewa namba 186 ya mwaka 2012. Kesi hii ni kuhusiana na madai ya nnape kuwa CDM wana pokea...
16 Reactions
279 Replies
29K Views
Zanzibar ni yetu sote – Mansoor November 14, 2012 Na Mansour Yussuf Himid Leo nami nimeamua kutoa mawazo yangu kupitia kwenye ukumbi huu. Kwa wale wasionifahamu mimi ni Mansoor Yussuf Himid...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa rais Kikwete ambaye ni mweyekiti wa CCM taifa ametoa ushahidi kwa hiari yake kuthibitisha mashitaka kwenye mahakama ya ICC. Kama mtakumbuka vema kituo cha sheria na haki za binadamu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimesikiliza na kufuatilia mkutano mkuu wa ccm pale Dodoma kwa umakini sana, Hotuba zote zilizosomwa na wanaccm hazikuwa na mafaa kwa chama wala wanachama wake, Hotuba ya Mwenyekiti (JK)...
5 Reactions
139 Replies
14K Views
Tanzania inazidi kupoteza mwelekeo katika ngazi ya Uongozi wa Juu wazo limekuja baada ya kufanya tathmini ya muda mrefu. Mikataba mingi ya mashirika mengi haina kikomo cha mwisho kwa wakurugenzi...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Jaji Joseph Warioba Awamu ya nne, ambayo ni ya mwisho ya kukusanya maoni binafsi ya wananchi kuhusu Katiba Mpya, kunakofanywa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sisi wanafunzi wa kitanzania nchini Urusi ,tunakosa huduma za msingi kama vile malazi , chakula na bima ya afya. Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu na Wizara ya Elimu na mafunzo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu zangu waTanzania, Nimekuwa nikijiuliza ni kwanini Serikali inatoza dola 50 TU kwa mgeni anayeingia nchini kwetu kama viza entry fee, Kiwango hiki ni kidogo sana na kimepitwa na wakati. Sisi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Written by Stonetown (Kiongozi)| Ahmed Rajab HUU ni wakati wa Wazanzibari kusimama na kuwashika masikio viongozi wao. Chokochoko zinazofanywa chini kwa chini na matamshi ya uchochezi...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Wakuu habari za muda. Niko jimboni Ngorongoro baada ya kuhitimu chuo kikuu cha Tumaini nimerudi nyumbani kata ya Ololosokwan. Kwa tarifa tu hii ndiyo kata peke CHADEMA waliogombea udiwani baada...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Imeandikwa na Christopher Gamaina, Dodoma|Jumanne, Novemba 13, 2012 10:12 Licha ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufana, dosari na vituko kadhaa vimechukua nafasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu safu mpya ya uongozi wa ccm baada ya uchaguzi uliofanyika Kizota,mjini Dodoma. Mijadala mingi inakuwa haitolewi sababu za JK na safu na yake kupongezwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Profesa Shivji Mimi nilidhani kwamba kabla ya kuanza kwa mchakato wa kuunda Katiba Mpya kungekuwa na dira ya mpango wa maendeleo ili kujua tunataka Katiba ya aina gani,”alisema Profesa Shivji...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ni kawaida kwa watanzania kulalamika badala ya kujiuliza kwanza Je kama raia walitimiza wajibu wao kuhusu lile wanalolamikia? kwa mfano kudai mikutano ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom