JK amedai kuwa anateua Majaji kwa mujibu wa mapendekezo ya Tume ya Kuajiri ya Mahakama na si kwa mapenzi yake!
Anaamini kwamba Tume hiyo haiwezi kupendekeza Majina ya wasio na sifa, yeye kazi...
JUMAMOSI, NOVEMBA 17, 2012 08:33 NA ELIYA MBONEA, KILIMANJARO
RAIS Jakaya Kikwete amesema ameshangazwa na utekelezaji wa miradi mikubwa katika awamu yake kwa muda mfupi, ikiwamo ujenzi wa...
Kanisa katoliki katika jimbo la arusha parokia ya Roho mt ngarenaro limetoa ujumbe mzito kuhusiana na katiba mypya. Ujumbe huo umetolewa huku kukiuzwa picha za madhehebu ya dini ambazo zinaupinga...
The topic speaks for itself.
It is urged, not to post in the thread of the provided Link of the Interview going on till it is allowed to. All side comments or extra questions are to be posted in...
Sunday, 18 November 2012 | DAILY NEWS Tanzania
TANZANIA Bureau of Standards (TBS) has stammered over the registration of bottled Water manufacturers who were not in their certified list.
Two...
Ikiwa rais Obama alikaa madarakani kwa miaka 4 na kufanya jumla ya safari 32 na kutakiwa kutaja faida za kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena.
Mwl. Nyerere alikaa madarakani...
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza katika mapokezi yake...
Imeandikwa na na Veronica Mheta, Arusha | HabariLeo | Novemba 18, 2012
HALMASHAURI Jiji la Arusha imekanusha kufanya ufisadi katika sherehe za uzinduzi wa Jiji hilo uliofanyika Novemba mosi mwaka...
Wana JF ni matumaini mmeamka salama,
Leo hoja mnaonaje muundo wa uongozi wa juu wa CCM ulivyo. Angalia wana Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Zanzibar na Makamu mwenyekiti Bara. Hivyo, wamejikuta...
FRIDAY, NOVEMBER 16, 2012
Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki
Jimbo la Bukoba, Method Kilaini
Kwa masikitiko makubwa nimesoma katika gazeti la Mwananchi kwamba nimeiponda safu ya...
Uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa mkoa wa Mara uligubikwa na mizengwe mingi kiasi kwamba ikaonekana Jina la Vicenti lilitumika kumdhoofisha Makongoro. Kilichojitokeza ni wapinzani wa Makongoro...
Kikwete akisema sasa namuamini, Matukio yafuatayo ingawa yalitikisa Nchi, lakini yalikuwa upepo tu na yamepita.
1. Waligoma waalimu na madaktari, watu wakafa wanafunzi wakakosa masomo, hata bila...
Kwanza ningependa kumshukuru mungu muumba kunipa nafasi hii ya kuandika waraka huu kwenu ndugu zangu. Namuomba anielekeze fikra nilizonazo zitoke kama ninavyokusudia kutoka kichwani kwangu na...
RIP mheshimiwa diwani na Mungu alaze roho ya marehemu mahala pema peponi!
Diwani kutoka Kiteto kwa tiketi ya CCM amefariki katika hospitali teule ya jiji la Arusha inayoitwa St Elizabeth Hosp...
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kutangaza safu mpya ya wajumbe wa Sekretarieti ya chama hicho, wasomi, wanasiasa na viongozi wa dini wameponda uteuzi huo wakisema chama...
Kuna jambo nilisilo lielewa hasa ninapokutana na tambo kama hizi: "Tumejenga barabara...tumejenga shule...tumejenga hospitali...tumejenga vyuo vikuu nk nk" Ninajiuliza je hayo siyo majukumu ya...
Watanzania tumeona jinsi spika Anna Makinda ambavyo amekuwa akizima hoja zenye umuhimu katika taifa letu. Tumejifunza mengi kuhusu madaraka ya spika kipindi hiki cha Anna Makinda. Definitely...
Profesa Abdul Shariff,Mwenyekiti wa Baraza la Katiba Zanzibar , akitowa mada ju ya mchakato wa kuchangia maoni ya Katiba Mpya ya Tanzania, kuhusu mfumo wa Serekali mbili za Jamuhuri ya Muungano wa...
15 NOVEMBER 2012
Na Agnes mwaijega
UTEKELEZAJI wa sera zinazotungwa katika nchi yoyote ulimwenguni yanategemea usimamizi wa serikali unaozingatia sera na sheria.
Ni wazi kwamba kama serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.