Kanisa la roho mt ngarenaro arusha latoa ujumbe mzito.


Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
4,721
Points
1,225
Apolinary

Apolinary

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
4,721 1,225
Kanisa katoliki katika jimbo la arusha parokia ya Roho mt ngarenaro limetoa ujumbe mzito kuhusiana na katiba mypya. Ujumbe huo umetolewa huku kukiuzwa picha za madhehebu ya dini ambazo zinaupinga ukristo duniani kwa kuchoma makanisa na vitabu vitakatifu! Hata hivyo waumini wa usharika wa ngarenaro wamealikwa katika kongamano la katiba mpya litakalofanyika katika ukumbi wa fadher babu mkoani arusha! Takwimu zilizotolewa na kanisa katoliki zinaonyesha kiasi ya makanisa 48 yamechomwa moto tangu mwanzo wa mwaka 2012
 

Forum statistics

Threads 1,295,995
Members 498,495
Posts 31,230,159
Top