Picha: Dk shein apokewa kwa shangwe mjini zanzibar jana


nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225

[h=3][/h]Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza katika mapokezi yake katika mji wa Zanzibar mtaa wa Michenzani,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha kushika nafasi hiyo, kutokana na uchaguzi,uliofanywa wa kuwachagua Viongozi wa CCM kwa kipindi cha miaka mitano,katika ukumbi wa Kizota,Mkoani Dodoma.


Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono wananchi na wanachama wa CCM waliojitokeza katika mapokezi yake katika mji wa Zanzibar mtaa wa Michenzani,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha kushika nafasi hiyo, kutokana na uchaguzi,uliofanywa wa kuwachagua Viongozi wa CCM kwa kipindi cha miaka mitano,katika ukumbi wa Kizota,Mkoani Dodoma.


Maandamano ya Pikipiki kama yanavyoonekana pichani wakiongoza msafara wa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa Nane,ulimuwezesha kushika nafasi hiyo katika uchaguzi,wa kuwachagua Viongozi wa CCM kwa kipindi cha miaka mitano,katika ukumbi wa Kizota,Mkoani Dodoma


Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa shada la mauwa na mtoto Salama Issa Ali, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Mkoani Dodoma,kulikofanyika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliomuwezesha kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi kwa kishindo.


Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi na wanachama wa CCM, alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,nje ya Mji wa Zanzibar akitokea Mkoani Dodoma,katika Mkutano Mkuu wa nane wa Chama hicho uliomuwezesha kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi kwa kishindo.


Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe mamam Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi na wanachama wa CCM, walipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume,nje ya Mji wa Zanzibar wakitokea Mkoani
Dodoma,katika Mkutano Mkuu wa nane wa Chama hicho uliomuwezesha DK.Shein,kushika nafasi hiyo,baada ya kushinda uchaguzi Mkuu ulimalizika hivi karibuni.

Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Points
1,225
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 1,225
Hakuna watu BARABARANi zaidi ya Pikipiki alizoanzisha NAPE NNAUYE... Wa Bara na Katibu Mkuu Mpya hawakufanya hizo SHEREHE... Ni CHAMA na SIO SERIKALI... waist of government waste
 
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Messages
1,520
Points
0
i pad3

i pad3

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2012
1,520 0
ina maana wote hawa hawampendi sheikh faridi anayenyea debe jela?
 
Indian

Indian

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2012
Messages
824
Points
1,000
Age
38
Indian

Indian

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2012
824 1,000
Mbona askari wameka wengi kuliko raia au haya nimapokezi ya kipalestina?
 
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
3,729
Points
1,225
kapotolo

kapotolo

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2010
3,729 1,225
Hivi Shein aligombea na nani akashinda umakamu mwenyekiti? Alimshinda aliyegombea nae kwa kura ngapi?
 

Forum statistics

Threads 1,295,176
Members 498,180
Posts 31,202,323
Top