CCM wanatuzuga muundo wa serikali wanatumia katika safu ya uongozi

kkitabu

Senior Member
Dec 27, 2011
140
47
Wana JF ni matumaini mmeamka salama,
Leo hoja mnaonaje muundo wa uongozi wa juu wa CCM ulivyo. Angalia wana Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Zanzibar na Makamu mwenyekiti Bara. Hivyo, wamejikuta wakitumia muundo wa serikali tatu katika chama chao . Ni bora kukawa na serikali tatu ili mwenyekiti awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu mwenyekiti bara ambaye atakuwa Rais wa Tanganyika na Makamu mwenyekiti Zanzibar - Rais awe Zanzibar kwani inapendeza. Wana CCM uzi wenu changieni ili kuondoa mzizi wa fitina. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom