Nilimsikia Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, akisema (Chadema) hakina hazina ya viongozi kama iliyonayo Chama Cha Mapinduzi (CCM). Alitamba kwamba CCM inaweza kusimamisha...
16/11/2012
1 Comment
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro jioni leo Novemba 15, 2012 tayari kwa ziara...
ndugu wana jf.....
kama mtanzania mwenye nia safi na nchi yetu na mdau wa maendeleo nimekuwa nikifuatulia kwa karibu chaguzi za CCM zilizokuwa zikifanyika kule dodoma.......
na kusikia tambo za...
Watanzania suala la kutunga katiba mpya ni jambo la msingi sana.
Jambo la kwanza la kuangalia majukumu ya Rais kwa ujumla katika katiba hii iliyopo ni makubwa sana. Mfano wa kuteua wakuu wa...
Kuanzia jana hadi leo asubuhi vyombo vingi vya habari vimejitokeza na kauli ya Rais Kikwete kuwa yeye hawezi kutawala kwa visasi! Lakini ukweli ni kuwa suala zima la utawala wa kuchaguana kwa...
Posted Novemba17 2012 saa 9:12 AMKwa ufupi
MAKAMU wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilali, amesema yeye siyo miongoni mwa vigogo wa Serikali wanaodaiwa kuficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi...
katika mdahalo wa leo usiku uliokuwa unaendeshwa na kituo cha TV cha ITV kilichokuwa na mada ya NINI TUMEJIFUNZA KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, badala ya WANACUF kujadili mada ikizingatiwa kuna...
Kama mlivyosikia bunge lililopita tumewasha moto bungeni juu ya ardhi na wabunge wa CCM wametuunga mkono, sasa tunasubiri bunge la mwezi wa nne, mwakani kisipoeleweka kaeni mkao wa kula kutwaa...
Wananchi wengi (80%) ni maskini wa kutupwa ndani ya nchi yetu. Cha ajabu 99% ya viongozi wa CCM ni matajiri!!!
Miaka ya nyuma CCM kilijitambulisha kama chama cha wanyonge (wakulima na wafanyakazi)...
Watanzania Tumelogwa na nani?
Nikipita maeneo Mengi ya nchi hii sehemu ambazo binadamu hununua mahitaji yao kwa kweli wako makini katika kununu bidhaa itakayo kuwa ni Nzuri na yeye kuridhika...
WANAFAMILIYA ZA WATUHUMIWA
ZANZIBAR
11 NOVEMBA 2012.
KWA:
WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
ZANZIBAR,
MKURUGENZI
ZANZIBAR LEGAL SERVICES CENTRE
ZANZIBAR,
TANZANIA LEGAL AND HUMAN RIGHTS CENTRE
DAR ES...
Mwanazuoni Dk. Kitila akiwa katika kipindi cha This week in pespective TBC muda si mrefu pamoja na Joseph Butiku, Dk. Benson Bana amesema katika sekretariati mpya ya CCM anawakubali Mangula na...
Wakuu wanajamvi, Salaam
Nimetafakari sana kazi za wanasiasa hasa wa vyama vya upinzani nikaona ni jinsi gani wanavyojitoa mhanga kutetea maslahi ya wananchi. Moja ya sala yangu ni kwa hawa...
JK tunakupa hongera kwa kumbakiza Nape ili azidi kuwapa vidonge Chadema. Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Chadema kutumia muda mwingi kujadili kauli za Nape badala ya kukijenga chama chao; hivyo...
Pamoja na kuunda safu mpya ya uongozi CCM bado haijajinasua kwenye uwezekano wa kufa.
Kitendo cha CCM kukosa watu wapya wa kuongoza chama chao mpaka kuwaangukia wastaafu waliowahi kukitumikia kwa...
Hii ni leo tena. Jamani baada ya mwezi jana polisi wa Hong Kong kukamata meno ya tembo na vipande zaidi ya 1,200 ya thamani ya USD 3.4 millioni, leo tena wamekamata jingine tena.
Inaaminika...
Na Julius Magodi na Habel Chidawali, Dodoma | Mwananchi | Novemba 15 2012
RAIS Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Aman Karume juzi usiku alizomewa na baadhi ya wajumbe wa mkutano...
ILIKUWA mwaka 1962, jijini Dar
es Salaam, Rais Julius Nyerere kwa wakati huo alifungua
semina ya Mkutano wa Vijana Duniani.
Katika hotuba yake ya ufunguzi
iliyopewa jina la The SECOND...
Written by Abdul // 17/11/2012 // Habari // 6 Comments
Sultan Qaboos Academic Fellowship yazinduliwa SUZANa: Ramadhani Ali/ Habari MaelezoSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imezindua Mpango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.