Diwani wa CCM Kiteto afariki dunia

Diwani wa CCM Kiteto afariki dunia

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,833
RIP mheshimiwa diwani na Mungu alaze roho ya marehemu mahala pema peponi!

Diwani kutoka Kiteto kwa tiketi ya CCM amefariki katika hospitali teule ya jiji la Arusha inayoitwa St Elizabeth Hosp.

Kifo cha diwani huyu ni pigo kwa CCM kwani imekuwa ni vigumu kwa chama hiki kutetea viti vyake katika uchaguzi.
 
Ungeandika jina lake.Na kiteto ni kubwa ni kata gani.
 
Ungeandika jina lake.Na kiteto ni kubwa ni kata gani.

ushauri wako umezingatiwa,nitaliandika baadae!
Turudi kwenye hoja....kwamba hili ni pigo la kisiasa kwa ccm ,ni changamoto kubwa sana kwao hasa ukizingatia m4c imetia nanga huko manyara.
 
wakiendela kufa itakuwa vizuri kwani Chadema itapata nafasi ya kujipima kabla ya 2015,hiyo tunaita friend match!
 
Apumzike kwa amani.sasa tunaenda kuchukua kata yetu
 
R.I.P Diwani. Japo waswahili hunena, kufa kufaana.
 
Sitoi RIP mpaka nijue jina lake na kata aliyokuwa
 
.... Kifo cha diwani huyu ni pigo kwa ccm kwani imekuwa ni vigumu kwa chama hiki kutetea viti vyake katika uchaguzi.

Hapo ungeongezea hasa Kaskazini, wakija wanazi watakujuza viti 22 walivyopata majuzi vilikuwa vinashikiriwa na nani?????
 
Back
Top Bottom