• WASEMA WIZI WA KURA SASA MWISHO na Mwandishi wetu WAKATI kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete ya kuwataka
viongozi na wanachama wa chama hicho kuacha...
Wasema wizi wa kura sasa mwisho
Mbunge wa Ilemela Chadema, Ezekiel Wenje
na Mwandishi wetu
WAKATI kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete ya...
Na Ashton Balaigwa
17th November 2012
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Bilal
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Bilal, amesema watuhumiwa walioficha fedha nje kinyume cha sheria watachukuliwa hatua bila...
Kabla ya uchaguzi wa 2010 tuliambiwa CCM ina mtaji wa wanachama 3,000,000, hilo kila mtu angeweza kukubali kwani kwa chama hicho kikongwe kwa miaka zaidi ya 40 ilikuwa ni rahisi kupata idadi hiyo...
Ndugu zangu,
Kipindi ni ' Mimi Na Tanzania' - Channel Ten. Kilirushwa mara ya kwanza Jumapili iliyopita, leo Jumamosi ni marudio, saa 9.30 alasiri. Unaweza pia kuangalia sehemu ya kwanza ya...
Na Mkinga Mkinga na Masoud Masasi, Dodoma
Posted Alhamisi,Novemba15 2012 saa 21:49 PM
KWA UFUPI
"Baada ya Mheshimiwa Membe kuondoka kwenda Shinyanga, wapinzani wake ndani ya chama...
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni...
Haya maneno ni kati ya mambo yaliyonishangaza jana,kwanini maneno ya namna hiyo wakati tayari ameshinda.
Uchungu mkubwa namna hii umetoka wapi? Au zilikuwa 2x300 halisi za hapana kisha 2 za...
Katika dunia ya siasa ya miaka 90 na kurudi nyuma itikadi katika siasa ilikuwa ni utambulisho wa nchi na chama kwa jamii, baada ya kuanguka kwa taifa la Urusi utambulisho wa itikadi ulikosa nguvu...
Wanabodi
Chama bora nikile kinachobadilika kutokana na mahitaji ya jamii kwani wao ndio wenye kuamua uanachama na hata kuchagua.
CHADEMA kama kilivyo ni Chama cha Demokrasia na MAENDELEO...
Mbunge wa zamani CCM katika majimbo ya Mpwapwa na Kongwa Gideon Senyagwa amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha CHADEMA.Mbunge huyo alipewa kadi Na. AO CDM 0101716.
Mbunge huyo wa zamani...
Kwa muda mrefu mimi ni mpenzi wa JF kwa sababu mbalimbali lakini muhimu ni mbili. Kwanza nafahamu kuwa JF kuna baadhi ya watu ambao ni wachambuzi wazuri wa mambo lukuki. Wapo wasomi wa kupindukia...
Wanabodi,
Kumekuwa kukitolewa madai mbali mbali kuwa M/Kiti wa CCM ni dhaifu na asieweza kufanya maamuzi magumu!. Baada ya Chama cha Mapinduzi, kukamilisha safu ya uongozi wake, wakiwemo...
Alipokuwa akihojiwa, Dk. Slaa alisema kuwa Rais Kikwete huenda hasomi, anadanganywa au anapenda lugha rahisi za kusema wenzake waongo. Mawaziri wameutumia Mkutano Mkuu kwa mbwembwe kueleza...
Kwenu wanabod,
Ningependa kufahamu juu ya haya masuala ya nchi nyingine kutangaza baadhi ya mali kuwa ni zake kimataifa kwa mfano nchi jirani ya Kenya inaposema mlima Kilimanjaro unapatikana...
Kumekuwepo na hujuma nyingi za hapa na pale zisizo na kichwa wala miguu, silizotawaliwa na vihoja na si hoja juu ya Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu hasa kwa lile kundi linaloogopa kivuli...
Sultan Qaboos Academic Fellowship yazinduliwa SUZA
Na: Ramadhani Ali/ Habari Maelezo
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imezindua Mpango wa maendeleo ya elimu ya Chuo Kikuu cha Taifa cha...
Serikali na Tanesco wote walituahidi kwamba sasa hatuna tena mgao wa umeme, lakini kila siku umeme unakatika kama zamani tu. Lakini tukiiliza tunajibiwa kwamba hamna mgao! Afisa habari wa Tanesco...
Wasaidizi wa Rais hasa Waandishi wa Hotuba wamekuwa wakinyooshewa vidole kuwa wanampotosha Rais ambaye naye huwapotosha watanzania. Takwimu azitoazo Mheshimiwa Rais hujaa walakini.Maneno ya...
Nimemsikia JK kupitia Radio One asubuhi hii akiongoea na viongozi wa dini huko Arusha akiwahimiza wasichoke kuiombea Tz amani kwani ni watu wachache tu wanaoltaka kuleta vurugu.
Mie naona hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.