Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hatima ya gereji bubu katika manispaa ya Moshi ni kitendawili baada ya Mkurugenzi wa Manispaa kuwapa siku thelathili kuanzia tarehe 15 mwezi huu wa kumi na moja wawe wamehama.Ilihali maeneo ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeikuta hii kwenye mtandao wa secretariat ya ajira kwa watumishi wa umma. Wakiwa wanatoa matokeo ya usaili walioufanya MOI. Wameandika MUHIMBILI ORTHOPAEDRIATIC INSTITUTE (MOI) Hii ni aibu...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya jana kutamka kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema kuwa hana uhakika kama ataweza...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau nimechukua muda kabla sijasema hili baada y mkutano wa CCM huko Dodoma kuisha. Mimi si muongeaji wa habari za Lowasa lakini leo nasema juzi Dodoma baada ya hali ya kuwa mbaya JK anakataliwa...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa Kinana kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa ccm, kimetudhihirishia wazi kuwa kwa sasa chama hicho kipo kwa maslahi ya nani. Ni kwa muda mrefu Watanzania wamekuwa wamekistukia chama hicho kuwa...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
katika mkutano wake na wanahabari Warioba amesema sio kweli kuwa wanalipua na kuupeleka puta mchakato huo. Amesema kuwa wanafuata taratibu walizojiwekea na watu wote watafikiwa. Warioba anasema...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu ndiye aliyekua naibu Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN). Kwa exposure na experience yake in a global context itaisaidieaje nchi ikiwa sasa amebanwa ndani ya chama. Taifa litanufaika vipi na...
1 Reactions
104 Replies
8K Views
Kama kwenye katiba wataweza kupunguza serikali kujihusisha na biashara ambazo ambazo zinatakiwa kuachiwa wananchi Tanzania itaendelea sana. Sababu kubwa ya Tanzania kuwa masikini ni kwa kutokuwa...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
J.M. Makweta alizaliwa 15.6.1943 na amefariki 17.11.2012 wodi ya Mwaisela, hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo na figo. Nawapa pole sana wafiwa wote. Mwaka...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Chama cha demokrasia na maendeleo kimesitisha chaguzi zake zote za ndani zilizokuwa zifanyike kuanzia mwakani.Kwa mujibu wa taarifa hyo ambayo imesambazwa nakala zake kwa viongozi wa mikoani na...
4 Reactions
72 Replies
5K Views
Lwaitama anasema mkutano wa juzi wa CCm unaweza kukileta chama hicho katika chati mpya kwa walivyojipanga na kukubaliana kuwa watulizane, wasiue chama maana wote watakosa. Wakakubaliana kuwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani si jingine Ila ni hill la kuchangia ujenzi WA shule za sekondari nipo wilayani kilombero nalishuhudia kwa macho yangu pasipo ambiwa na Lissu. Jamani wananchi wanateswa wanalazimishwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
by JOHN BUKUKU | Jambo Leo | NOVEMBER 18, 2012 MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) wilayani Arusha waliogoma kumtambua Meya wa Jiji hilo, Gaudence Lyimo sasa wanadaiwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Authorities in Switzerland have given their Tanzanian counterparts tough conditions, which should be implemented, before the Swiss could cooperate in tracing the stolen billions allegedly being...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MWONGOZO KUHUSU UTARATIBU WA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI KUSHIRIKI KUTOA MAONI YAO KUHUSU UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA _________________________ Kwa kuwa mchakato wa kupata Katiba Mpya ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa mkutano wa kuchangia maoni ya Katiba ya Tanzania, Profesa Mwesiga Baregu, akiwa na wajumbe wezake Mhe Fatma Said Ali na Mhe.Ali Saleh, wakifuatilia maoni ya Wananchi wa Shehia ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kampeni kubwa juu kundi kubwa hilo la kiislamu ni kutaka zanzibar huru na sio vengine.nikundi lilobahatika kua na mvuta mkubwa visiwani zanzibar.uamsho ni jumuiya ya kiislamu ambayo ipo miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ITV leo imemwonesha m/kiti wa Jukwaa la Katiba Bw.Deus Kibamba akidai kuwa kamwe kwa hali iliyopo hatutaipata katiba mpya 2014. Na kuwa utawala haujaliweka bayana hilo. MADHARA YAKE NI VITA IWAPO...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza kimelaani tabia ya wanasiasa kuhamasisha wananchi kutotii sheria. Akizungumza mjini hapa jana, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Elias...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom